Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,577
- 18,774
Ukishajifunza kuandika vizuri, rudi hapa na hoja iliyonyooka.Ki ukweli kabisa wakenya wapo vzuri kwenye kiswahili especially wale wanotoka ukanda wa pwani. Watz wengi wanashindwa kutofautisha R and L. dha wanatumia za na tha wanasema sa. Very sad. Unakuta mtu amemaliza mpaka chuo kikuu lakini still hawezo tofautisha hiyo