Shule za Afrika Kusini kuanza kufunza Kiswahili baada ya kuingia makubaliano na Kenya

Ndo maana mtu wa Mombasa hawezi sema Nishasoma anatamka na kuandika nshasoma
 
Ni bora nivumilie kusikiliza Kiswahili cha Kenya kuliko kumsikiliza mtanzania anayeongea au kuandika Kiswahili cha hovyo!

Hongera Wakenya kwa kuchangamkia fursa! Tz kuna majitu mazuzu sana wasioweza lugha yoyote!
 
Ndo maana mtu wa Mombasa hawezi sema Nishasoma anatamka na kuandika nshasoma

Hata watu watanga na pemba huwa wanasema "Nshasoma" bali hata waswahili wa bara huki Tanzania wanatamka hivi.

Sasa huyu mdau anachanganya Kiswahili cha kilahaja na Kiswahili sanifu hivi ni vitu viwili tofauti japokuwa Kiswahili sanifu amezalikana na hizi lahaja.
 
Ni bora nivumilie kusikiliza Kiswahili cha Kenya kuliko kumsikiliza mtanzania anayeongea au kuandika Kiswahili cha hovyo!

Hongera Wakenya kwa kuchangamkia fursa! Tz kuna majitu mazuzu sana wasioweza lugha yoyote!

Unajuaje Kiswahili cha hovyo ?
 
Hatujakataa..ila tunawahurumia AK maana watapata Kiswahili cha hovyo hapa Duniani
 
Nafahamu waTZ 5 wako China wanafundisha Kiswahili... Kiswahili fasaha
 
Ila baada ya haya majivuno yote, bado inasalia kuwa waKenya wanazidi AFRIKA KUSINI kufunza KISWAHILI
 
Ila baada ya haya majivuno yote, bado inasalia kuwa waKenya wanazidi AFRIKA KUSINI kufunza KISWAHILI
kun jamaa hapa kasema kiswahili hakiwahusu wabara..kuna wengine wakaanza kutema mapovu...nashuku hao jamaa ni wa kutoka tanzania bara kwel...si wajikubali km wabara wa kenya...wanajikubali km kiswahili hakiwahusu...
 
Afrika ya Kusini wamefanya mabadiliko ya mfumo wao wa elimu,sasa wataanza kusoma Kiswahili badala ya Kifaransa na Kireno.

Kutokana na maamuzi haya,Serikali ya Afrika ya Kusini imeingia Makubaliano rasmi na Serikali ya Kenya ili Kenya ipeleke wataalam wake kwenda kufundisha Kiswahili nchini Afrika ya Kusini.

😳Haya mambo hayaaaaaa😳
 
Ngoja isidingo iwe bongo muvi
 
Tusilaumu huwezijua pengine serikali ilizingua au ilisua Sua.Watz hawatuwez kuchangamkia fursa.
 
Mimi mkuu nimesema hapa watu wanatetea. Tx kiswahili kwenye makaratasi ni kitamu sana. Sasa mtafute Mtz tena msomi tu mwambie aandije au aongee kiswahili, utakimbia.
Ni bora nivumilie kusikiliza Kiswahili cha Kenya kuliko kumsikiliza mtanzania anayeongea au kuandika Kiswahili cha hovyo!

Hongera Wakenya kwa kuchangamkia fursa! Tz kuna majitu mazuzu sana wasioweza lugha yoyote!
 
Mimi mkuu nimesema hapa watu wanatetea. Tx kiswahili kwenye makaratasi ni kitamu sana. Sasa mtafute Mtz tena msomi tu mwambie aandije au aongee kiswahili, utakimbia.
Punguza kutumia mihemuko kuongea ili uonekane upo right,
 
Reactions: Oii
Tofauti kati ya kiunguja na Kimvita ni kidogo sana.
Ukiwaskiza they sound almost the same.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…