DOKEZO Shule za binafsi zinawafundisha watoto wetu uongo sana

DOKEZO Shule za binafsi zinawafundisha watoto wetu uongo sana

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Ndugu Wazazi kuweni makini sana na watoto wenu wanaosoma shule za binafsi kwa sababu kuna mtoto wa rafiki yangu yupo darasa la nne shule X walikuwa wanafanya mtihani wa darasa la nne WILAYA sasa kuna mwl alikuwa anasimamia hiyo shule na anafahamiana na mzazi wa huyo mtoto wake anayesoma hiyo shule.

Hiyo shule watoto walipangwa kucheat siku ya mtihani kwa kupangwa wenye uwezo wanakaa karibu na asiye na akili sana darasani.

Mwl akastukia mtego akawapangua wote na kuwakagua wote upya wengine wameandika majibu kwenye mapaja. Yule mwalimu akamueleza yule mzazi kuhusu hicho kisa. Mzazi kumuuliza mtoto kuhusu kudsnganya akakataa mpaka alipomchapa ndio mtoto akaanza kuelezea sasa.

Unaweza kuona visa hivi vilivyo! Watoto wanaambiwa ole wako ukaseme tutakuchapa hii inamuingia akiwa mdogo kwa hiyo ata akifanyiwa kitu kibaya hasemi.

Serikali iwe serious sana na hizi shul watu wanalipa 3m zinaangalia ufaulu tu na sio mtoto awe na knowledge ya kujitegemea.,
 
Kwa hiyo unatushauri nini mkuu? Kwamba tukiwauliza watoto wakakataa habari ya cheating tuwachape hadi wakubali?
 
Sisi tunaosomesha watoto wetu Tanganyika international School (IST) ada mil 74 kwa mwaka hakuna hizo mambo
 
Back
Top Bottom