Shule za bweni kwa wavulana ni tishio katika mmomonyoko wa maadili

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Ndugu zangu kuna haja kufanya marejeleo katika suala la shule za bweni kwa vijana wetu wa kiume kwasababu zinachangia kwa kiwango kikubwa katika suala zima la mmomonyoko wa maadili.

H
Mbona sisi tumesoma shule za Bweni wanaume watupu na hayo mambo hayakuwepo,au wanangu wa Galanos mnasemaje....labda kwasababu hao ni wavulana.
Hali ni mbaya sana, tunapoteza vijana wetu
 
Ndugu zangu kuna haja kufanya marejeleo katika swala la shule za bweni kwa vijana wetu wa kiume kwasababu zinachangia kwa kiwango kikubwa katika swala zima la mmomonyoko wa maadili
Nimesikia Kenya wameshaanza kupiga matufuku Boarding schools

Nashangaa sana wazazi wanaowapeleka Watoto wao shule za boarding wakiwa Primary school bado wadogo kbs

Sifanyi huo ujinga
 
Kupiga marufuku boarding school hakupunguzi na hakutapunguza tatizo la ushoga, acheni kutumia akili ndogo kwenye mambo makubwa.
 
Ndugu zangu kuna haja kufanya marejeleo katika swala la shule za bweni kwa vijana wetu wa kiume kwasababu zinachangia kwa kiwango kikubwa katika swala zima la mmomonyoko wa maadili
Acha ujinga wa kuchukua video za nchi tofauti ukaweka humu.. Alafu uja na Mada zako za ngese..[emoji34]
 
Kama vipi shule zisiwepo kabisa maana kila leo zinasakamwa mmomonyoko wa maadili.

Hivi James Delicious na Hakika Reuben walisoma bweni Primary na boys tupu secondary?
 
Mbona sisi tumesoma shule za Bweni wanaume watupu na hayo mambo hayakuwepo,au wanangu wa Galanos mnasemaje....labda kwasababu hao ni wavulana.
Angalai hizo sweta na uvaaji hizo ni shule za kishua ndo zinatoa watoto wenye wa hovyo ila hizi za government wengi wanakaza kweli sio watoto wa mama
 
Wajinga tu hao na audience nzima nao ni wapuuzi tu

Rika Hilo ni hatari sana watoto wana nyege acha kabisa, ukivaa sketi hivo wandewa wengi hapo wamedinda kinoma kwa io badae ukijifanya bado unaigiza mwanamke ukijilegeza wanakuweka
 
CONSPIRACY THEORIES.

Tangu lini shule ikafundisha ushoga? Ushoga hauna MTAALA.

Hawa wanafanya maigizo kama ya Joti, wala sijaona shida hapo.

Nyie ndio mashoga, msisingizie shule.
 
Umeahawahi kuigiza na sketi mkuu??

Aisee enzi zetu hata kama ni maigizo sijaona wa kumvisha sketi aisee
 
Angalai hizo sweta na uvaaji hizo ni shule za kishua ndo zinatoa watoto wenye wa hovyo ila hizi za government wengi wanakaza kweli sio watoto wa mama
Tatizo lako umehitimu SENTI KAJAMBA.

Ndio maana unaonea gere shule za vipanga.
 
Back
Top Bottom