Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesikia Kenya wameshaanza kupiga matufuku Boarding schoolsNdugu zangu kuna haja kufanya marejeleo katika swala la shule za bweni kwa vijana wetu wa kiume kwasababu zinachangia kwa kiwango kikubwa katika swala zima la mmomonyoko wa maadili
Kupiga marufuku boarding school hakupunguzi na hakutapunguza tatizo la ushoga, acheni kutumia akili ndogo kwenye mambo makubwa.Nimesikia Kenya wameshaanza kupiga matufuku Boarding schools
Nashangaa sana wazazi wanaowapeleka Watoto wao shule za boarding wakiwa Primary school bado wadogo kbs
Sifanyi huo ujinga
Acha ujinga wa kuchukua video za nchi tofauti ukaweka humu.. Alafu uja na Mada zako za ngese..[emoji34]Ndugu zangu kuna haja kufanya marejeleo katika swala la shule za bweni kwa vijana wetu wa kiume kwasababu zinachangia kwa kiwango kikubwa katika swala zima la mmomonyoko wa maadili
Imbombo ngafu!Imbombo jilipo
Hiyo shule iko Tanzania,mkoa gani,wilaya gani?Umemuona mtu wa asia au bara la ulaya hapo?
Angalai hizo sweta na uvaaji hizo ni shule za kishua ndo zinatoa watoto wenye wa hovyo ila hizi za government wengi wanakaza kweli sio watoto wa mamaMbona sisi tumesoma shule za Bweni wanaume watupu na hayo mambo hayakuwepo,au wanangu wa Galanos mnasemaje....labda kwasababu hao ni wavulana.
Umeahawahi kuigiza na sketi mkuu??CONSPIRACY THEORIES.
Tangu lini shule ikafundisha ushoga? Ushoga hauna MTAALA.
Hawa wanafanya maigizo kama ya Joti, wala sijaona shida hapo.
Nyie ndio mashoga, msisingizie shule.
Tatizo lako umehitimu SENTI KAJAMBA.Angalai hizo sweta na uvaaji hizo ni shule za kishua ndo zinatoa watoto wenye wa hovyo ila hizi za government wengi wanakaza kweli sio watoto wa mama
Tatizo lako umehitimu SENTI KAJAMBA.Angalai hizo sweta na uvaaji hizo ni shule za kishua ndo zinatoa watoto wenye wa hovyo ila hizi za government wengi wanakaza kweli sio watoto wa mama