Mr Sir1
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 1,749
- 7,945
Baada ya katazo la kuendeleza kuweka wanafunzi kipindi cha likizo, Diamond na Olympio wameendelea kushurtisha watoto kwenda shule ikiwemo darasa la nne.
Darasa la Saba wameshurtishwa kuvaa nguo za nyumbani ili kufanya kiini macho.
Huduma ya school bus imebidi kusitishwa kwa darasa la 4 kutokana na watoa huduma kusimamishwa na Traffic kuhojiwa kwanini wanasafirisha watoto ikiwa shule zimefungwa.
Je, kuna faida binafsi ambazo hizo shule zinapata watoto wakienda shule kiasi cha kukiuka amri za serikali??
Je, lile katazo lilikuwa la kiini macho tu huku nyuma ya pazia hizi tuition za kuforce zina baraka ya serikali?
Je, serikali imeshindwa kufuatilia maagizo yake kiasi cha shule kufanya zitakavyo?