Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Nachukulia kawaida maana hata huku mtaani wapo busy kwenda tuishen asubuh kurudi jioni sasa maana ya likizo iko wapi hapo
sasa watoto wakiwa wanaenda shule muda wa mapumziko, likizo itakuwa na maana gani, si tunawachosa tu.... au wewe hili unachukuliaje