Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishu ni tamaa za walimu . Wanadai pesa..Ila wazazi wa siku hizi mna malalamiko ya kipuuzi sana. Mbona hii hali ipo enzi na enzi hata madeko ya siku hizi mnayazidisha sana
Sawa, ila uzuri wa upuuzi ni kuwa mmoja humjua mwingine. Hivyo wewe ni mpuuzi mwenzetu.
Mkuu wewe na Walimu ni moto na maji [emoji23]Njaa tu zawalimu wadundulize mia mbili mia mbili
Likizo mtoto hatakiwi baki shule, hata hupaswi toa maelezo mengiMimi hua hawaendi Kwa Kweli nawasikiliza nawakubalia likizo ikianza wanakaa nyumbani,wakifungua naenda namwambia Mwl wanangu walikua na dharura baasi...kuepusha nongwa,na wote wa Saba alipata wastani wa A wa la nne NAE kascore A average
Yaani likizo mwanangu atapumzika regardless anything Mimi nilisoma na nikafaulu likizo sikuwahi enda shule
Acha chuki.Baada ya katazo la kuendeleza kuweka wanafunzi kipindi cha likizo, Diamond na Olympio wameendelea kushurtisha watoto kwenda shule ikiwemo darasa la nne.
Darasa la Saba wameshurtishwa kuvaa nguo za nyumbani ili kufanya kiini macho.
Huduma ya school bus imebidi kusitishwa kwa darasa la 4 kutokana na watoa huduma kusimamishwa na Traffic kuhojiwa kwanini wanasafirisha watoto ikiwa shule zimefungwa.
Je, kuna faida binafsi ambazo hizo shule zinapata watoto wakienda shule kiasi cha kukiuka amri za serikali??
Je, lile katazo lilikuwa la kiini macho tu huku nyuma ya pazia hizi tuition za kuforce zina baraka ya serikali?
Je, serikali imeshindwa kufuatilia maagizo yake kiasi cha shule kufanya zitakavyo?
Chuki kuthamini afya ya akili ya mwanangu kutaka apumzike??Acha chuki.
Bila shaka wewe ni KE.
Mzuhie mwanao asiende uone km kuna mtu atakuuliza. La sivyo hizo ni chuki zako.Chuki kuthamini afya ya akili ya mwanangu kutaka apumzike??
Tatizo la nyie wenye jinsia ya kike ni kuhisi kila kitu ni chuki hata pale palipo na ukweli. Wengi ya waopinga na kuona hii ni chuki aidha ni walimu ama wake (kama wewe) ama waume wa walimu. Wanahisi mradi wao umeshambuliwa wa kupata ruzuku kwa madai ya kusomesha watoto masomo ya ziada.
Mzazi anaelazimisha mtoto wake asiende likizo ni mpumbavu, mbinafsi na hakupaswa kuwa mzazi.
Mtoto asilimia 85 ya mwaka yupo shule, hiyo asilimia 15 itumieni kuwajua watoto wenu kiundani kipindi cha likizo.
Mnakuja shangaa tu mtoto amekuwa shoga na kuanza kutafuta mchawi kumbe mchawi ni mzazi mwenyewe kutotaka kukaa na mwanao kiasi cha kugundua tofauti ama mabadiliko ya kitabia.
Hiki hasa ndio kiini cha haya mambo yote.Pamoja na hayo,walimu nao wana jipatia kipato cha ziada
Tatizo unatumia mihemko kujibu na sio hoja.Mzuhie mwanao asiende uone km kuna mtu atakuuliza. La sivyo hizo ni chuki zako.
Ukiwa irresponsible parent km wewe hayo yooote unayo hisi yatatokea. Mtoto ni wa dada wa kazi,hufahamiani na mwl hata mmoja wa mwanao,kuonana na mwanao ni surprise,wewe na mtoto ni maadui nk.Chuki kuthamini afya ya akili ya mwanangu kutaka apumzike??
Tatizo la nyie wenye jinsia ya kike ni kuhisi kila kitu ni chuki hata pale palipo na ukweli. Wengi ya waopinga na kuona hii ni chuki aidha ni walimu ama wake (kama wewe) ama waume wa walimu. Wanahisi mradi wao umeshambuliwa wa kupata ruzuku kwa madai ya kusomesha watoto masomo ya ziada.
Mzazi anaelazimisha mtoto wake asiende likizo ni mpumbavu, mbinafsi na hakupaswa kuwa mzazi.
Mtoto asilimia 85 ya mwaka yupo shule, hiyo asilimia 15 itumieni kuwajua watoto wenu kiundani kipindi cha likizo.
Mnakuja shangaa tu mtoto amekuwa shoga na kuanza kutafuta mchawi kumbe mchawi ni mzazi mwenyewe kutotaka kukaa na mwanao kiasi cha kugundua tofauti ama mabadiliko ya kitabia.
Kiini kwa shule za serikali ni UFAHULU WA 100% BILA KUWA MWL NDIYE ANAYE FAHULU AU MWANAFUNZI.Hiki hasa ndio kiini cha haya mambo yote.
Hakuna wito ama ari aliyokuwa nayo mwalimu zaidi ya kujipatia kipato cha ziada.
Usiruhusu afya ya akili ya mwanao kufanywa mtaji.
Ikiwa mashine tu inapumzishwa, sembuse binadamu?