hata huku Tanga bado watoto wanaenda shule na wanawambia kuwa kila somo watalipiaBaada ya katazo la kuendeleza kuweka wanafunzi kipindi cha likizo, Diamond na Olympio wameendelea kushurtisha watoto kwenda shule ikiwemo darasa la nne.
Darasa la Saba wameshurtishwa kuvaa nguo za nyumbani ili kufanya kiini macho.
Huduma ya school bus imebidi kusitishwa kwa darasa la 4 kutokana na watoa huduma kusimamishwa na Traffic kuhojiwa kwanini wanasafirisha watoto ikiwa shule zimefungwa.
Je, kuna faida binafsi ambazo hizo shule zinapata watoto wakienda shule kiasi cha kukiuka amri za serikali??
Je, lile katazo lilikuwa la kiini macho tu huku nyuma ya pazia hizi tuition za kuforce zina baraka ya serikali?
Je, serikali imeshindwa kufuatilia maagizo yake kiasi cha shule kufanya zitakavyo?
Na ni njaa kweli maana sioni kumekuwa na umuhimu mkubwa wa kiasi gani kupeleka wanafunzi shule kipindi cha likizo hasa darasa la 4.Njaa tu zawalimu wadundulize mia mbili mia mbili
Serikali ina haja ya kusimamia hili agizo. Maana ishakuwa kama kuna sintofahamu.hata huku Tanga bado watoto wanaenda shule na wanawambia kuwa kila somo watalipia
Baada ya katazo la kuendeleza kuweka wanafunzi kipindi cha likizo, Diamond na Olympio wameendelea kushurtisha watoto kwenda shule ikiwemo darasa la nne.
Darasa la Saba wameshurtishwa kuvaa nguo za nyumbani ili kufanya kiini macho.
Huduma ya school bus imebidi kusitishwa kwa darasa la 4 kutokana na watoa huduma kusimamishwa na Traffic kuhojiwa kwanini wanasafirisha watoto ikiwa shule zimefungwa.
Je, kuna faida binafsi ambazo hizo shule zinapata watoto wakienda shule kiasi cha kukiuka amri za serikali??
Je, lile katazo lilikuwa la kiini macho tu huku nyuma ya pazia hizi tuition za kuforce zina baraka ya serikali?
Je, serikali imeshindwa kufuatilia maagizo yake kiasi cha shule kufanya zitakavyo?
Mpuuzi ni wewe na wale mithili yako wewe msioona umuhimu wa watoto wenu kupumzika.Ila wazazi wa siku hizi mna malalamiko ya kipuuzi sana. Mbona hii hali ipo enzi na enzi hata madeko ya siku hizi mnayazidisha sana
Mpuuzi ni wewe na wale mithiliki yako wewe msioona umuhimu wa watoto wenu kupumzika.
Mnazalia nini ikiwa hamna uwezo/muda wa kukaa na watoto wenu??
Mimi hua hawaendi Kwa Kweli nawasikiliza nawakubalia likizo ikianza wanakaa nyumbani,wakifungua naenda namwambia Mwl wanangu walikua na dharura baasi...kuepusha nongwa,na wote wa Saba alipata wastani wa A wa la nne NAE kascore A averageMzazi usipeleke mwanafunzi shule wakati wa likizo
Huu ni mradi batili unaotaka kuhalalishwa kwa kisingizio cha watoto kuhitaji masomo ya ziada.Watoto wanalipa 500# per day afisa elimu msingi ananufaika kuliko mnavodhani Wana posho zao hao