DOKEZO Shule za Diamond na Olympio zipo Juu ya Sheria?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Labda tuition πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,huko tuition anaenda kuvua samaki?
M mwanangu hatosoma likizo,labda tuition,ni bora afeli mtihani wa taifa nitaelewa kuliko kufaulu kwa kusoma shule mwaka mzima bila kupumzika,elimu siyo adhabu,kwanza sototaka kumuwekea targets kubwa div 2 au 3 intosha kwnda mbele!!ki
 
Sio hao tu zipo shule nyingi mno tena za serikali zimekaidi hilo tamko.
 
Nimefanya kazi kampuni binafsi ila ilipokua inafika muda wa likizo mwajiiri alikua ananibakiza kazini na kunilipa zaidi ya nilichokua kua napokea siku zingine. Shule zilizobakiza watoto kuendelea kujisomea asa madarasa ya mitihani nawapongeza sana.
🀣🀣🀣🀣Na unahisi muajiri alikuwa anakupenda sana kukulipa uendelee na kazi badala ya kupumzika???

Kwa mentality hii ni sahihi mpinge likizo.
 
Ila wazazi wa siku hizi mna malalamiko ya kipuuzi sana. Mbona hii hali ipo enzi na enzi hata madeko ya siku hizi mnayazidisha sana
Sasa mtu kuongelea mtazamo wake imekuwa upuuzi na madeko???

Kama wewe unapenda mwanao aendelee kwenda shule kipindi cha likizo ni sawa ila sidhani ni sahihi kuona mawazo ya wengine ni ya kipuuzi.
 
Picha
 
Pooovuuu la mume wa mleta mada duh mpo vizuri

Wewe ni muhanga wa menopause bila dira ya maisha.

Ukiangalia miaka ishakata, kila mtoto na baba yake tena bila matunzo, mwili hauuziki tena maana una makunyanzi tayari unabaki kutolea stress zako JF. Unakuta kila kitu na kila mtu anakukera.
 
Huyu ni design ya wale watu wanaohisi dunia yote inazunguka chini ya miguu yao, kuwa wanachoamini ndio kinapaswa kuwa sheria. Ni ngumu sana ku reason na mtu wa design hiyo. Silaha peke wanayokimbilia ni maneno ya kejeli ili kukutoa nje ya reli.

Wana kuwa too self absorbed na imani zao kuwa wao ni wa muhimu mno (in reality they are absolutely nothing) kiasi cha kuamini hata hii JF ni mali yao, kiasi ukiandika kile kinachokwenda kinyume na wanachoamini basi kinachofuata ni kebehi tu.

Waswahili husema 'mjinga mpuuze'.
 
Hee kumbe ndio maisha yako yalivyo pole mkuu. Daah story yako inasikitisha sana
Wewe ni muhanga wa menopause bila dira ya maisha.

Ukiangalia miaka ishakata, kila mtoto na baba yake tena bila matunzo, mwili hauuziki tena maana una makunyanzi tayari unabaki kutolea stress zako JF. Unakuta kila kitu na kila mtu anakukera.
 
Sema asante nimekuunganisha na mume. Mna story za kusikitisha jamani poleni kumbe maisha yenu yapo hivyo
 
kwa maelezo ya waziri wa elimu, ikiwa wazazi wamekubali hakuna shida. wewe kama inakukera zuia mtoto wako asiende hizo tuition abaki nyumbani anatazama tv
 
kwa maelezo ya waziri wa elimu, ikiwa wazazi wamekubali hakuna shida. wewe kama inakukera zuia mtoto wako asiende hizo tuition abaki nyumbani anatazama tv
πŸ‘
 
Shule za serikali asilimia 97 wanaendelea na masomo kwanini mnawadis private?
 
Wenye watoto wamebariki kwani wengekuwa hawajabariki si wangebaki na watoto wao majumbani Kuna mtu atakuja kumbeba mwanao kwa nguvu na kumpeleka shule,tusiichoshe serikali imetoa tamko nawe simamia tamko kwa kumwambia mwanao apumzike nyumbani
 
Ila kipindi hiki inashangaza, sijawahi kusoma tuition kuanzia drs la 1 hadi form 4 na huko kote nilifaulu vizuri, why now days?

Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
 
🀣🀣🀣🀣Na unahisi muajiri alikuwa anakupenda sana kukulipa uendelee na kazi badala ya kupumzika???

Kwa mentality hii ni sahihi mpinge likizo.
Sidhani kama umeelewa....hapo issue ni makubariano na utayari.
Hivi mlienda kusoma ujinga shuleni?
 
Ila wazazi wa siku hizi mna malalamiko ya kipuuzi sana. Mbona hii hali ipo enzi na enzi hata madeko ya siku hizi mnayazidisha sana
sasa watoto wakiwa wanaenda shule muda wa mapumziko, likizo itakuwa na maana gani, si tunawachosa tu.... au wewe hili unachukuliaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…