Shule za English Medium ni kiwanda cha kuongeza Depression kwa wazazi na watoto. Serikali iboreshe shule za umma

Shule za English Medium ni kiwanda cha kuongeza Depression kwa wazazi na watoto. Serikali iboreshe shule za umma

Tafuta pesa wewe ili watoto wako wasisome kwenye hizi shule za CCM, ni majanga tupu
 
Kuna ukweli hapo kwenye watoto kuwa 'soft'

Mimi nimesoma hizo shule kwanzia primary mpaka sekondari, kiufupi kuna mtazamo flani tunakua nao, unakua hujazoea shida, unakua mlalamikaji sana, unaona maisha ni marahisi.....

Ni tatizo kwa kweli mimi mwenyewe najaribu kujibadilisha baada ya kufika chuo na kuanza kuona uhalisia wa maisha....

vitu vidogo vidogo kama kupika, kubudget hela vinatushinda kwa kweli.....

Ni vyema mtoto apitie ugumu kidogo ila awe 'flexible' kwenye maisha, kudekezwa raha ila unachelewa kukua....

Haya ni maoni yangu tu....
What about accademic competence unawazidi au hauwazidi ? Unawazidi ktk nini, na huwazidi ktk nini ?
Je kwenye talent, talent yako ilikuzwa au ni sawa na wenzio wa kayumba ?
Kuna shule ipo jirani hapa huwa inakuwa top 1o kimkoa ila haina viwanja vizuri vya michezo, walimu wa michezo na sanaa, computer lab, geography studio nk.
Haina mwalimu ambaye yupo very unique in different aspect.
Huwa najiuliza what is the gape btn them and kayumba zaidi ya english.
Kwa nini wasomi wa PhD hawafanyi utafiti kuhusu hizi shule ili tupate majibu sahihi zina ubora au zina english bora.
Yaani ni kama tuna beti tu, hatuna uhakika kama watoto wanakuwa best of the best.
Walau nyie mliosoma hizo shule mtupe majibu, chini ya kapeti kuna nini katika uhalisia?
 
Hili sasa ndilo janga la kitaifa kabisa. Na ukumbuke shule za bongo watoto wanasoma ili wapate ajira na hatimaye wapate pesa za kuendeshea maisha. Hii ni sawa na betting ambapo unaweka stake kubwa iliu pate mamilion matokeo yake mkeka unachanika unakuachia stress tupu!

Hii familia inachezea hela kwa kweli. And by the time watoto wanahitimu nafasi za kazi zitakuwa zimeisha kabisa hapa nchini. Hata zile ambazo bado zina magap kadhaa, hayo magepu yatakuwa yameziba moja kwa moja. Hizo hela angewekeza kwa ajili ya ajili ya watoto, wangekuja kumshukuru baadaye.

Shule za mamilioni zinawafaa wanasiasa na mafisadi kwa kuwa wao wanapata hela kiubwete; sio walalahoi na wavuja jasho.
Mkuy shida sio kulipia elimu shida ni elimu gani unayoilipia kwa magharama makubwa ! Kama hio shule inatoa elimu kwa vitendo basi hio gharama ni sahihi.
Mfano mada za chemistry wanazifanyia experment zote, gharama ya kununua hizo kemikali ni kubwa sana.
Kama wanasoma computer application za kisasa ni sahihi sana kumaintain computer app mfano filmora au adobe ni ghali sana.
Kama wanajengwa kyk midi gi ya kukuza talent ktk sanaa, ubunifu na michezo ni ghali sana.
Mfano mimi nilijifunza kikapu kimtaa mtaa ila ukitaka kumpoka mtoto mwenye takent ta basktball, huyo mtoto awe na mipira yake yenye texture tofauti, awe na nguo za michezo zote pea kazaa, uwepo uwanja bora, awe na mwalimu bora, mwalimu apewe tool za kufundishia zote ikiwepo vitabu, computer, software nk .
Unaona! Ku handle sekta moja tu ya kikapu ni ghali sana.
Swali je hio shule unayolipa m25 je inampa mtoto anachostahili kulingana na dunia ya sasa au ni ufaulu tu wa masomo.
Nianavyo mimi ni shile chache sana zinakidhi ubora wa vigezo vya shule bora.
Ushahidi ni kwamba
HATUONI ZAO LA HILO SHULE KUEEPO VIJANA EXCEPTIONAL KTK NYSNJA MBALI MBALI ZA UBUNIFU, MICHEZO, SIADA NA UONGOZI.
JE,
KUNA JAMBO LA KUTAJA LIWE MFANO KWA KUWASILISHA MATOKEO YA UBORA WA HIZO SHULE.
Ila acha tuendelee na mfumo maamuma usiotanabahisha uhalisia wa mahitaji ya watanzania.
 
What about accademic competence unawazidi au hauwazidi ? Unawazidi ktk nini, na huwazidi ktk nini ?
Je kwenye talent, talent yako ilikuzwa au ni sawa na wenzio wa kayumba ?
Kuna shule ipo jirani hapa huwa inakuwa top 1o kimkoa ila haina viwanja vizuri vya michezo, walimu wa michezo na sanaa, computer lab, geography studio nk.
Haina mwalimu ambaye yupo very unique in different aspect.
Huwa najiuliza what is the gape btn them and kayumba zaidi ya english.
Kwa nini wasomi wa PhD hawafanyi utafiti kuhusu hizi shule ili tupate majibu sahihi zina ubora au zina english bora.
Yaani ni kama tuna beti tu, hatuna uhakika kama watoto wanakuwa best of the best.
Walau nyie mliosoma hizo shule mtupe majibu, chini ya kapeti kuna nini katika uhalisia?
hazitoi best of the best, zinachuja....

wanaoingia form 1 ni wale waliofaulu interview kuliko wote....

halafu kwenye michezo ni kweli hawazingatii, ni shule chache zinazozingatia
 
hazitoi best of the best, zinachuja....

wanaoingia form 1 ni wale waliofaulu interview kuliko wote....

halafu kwenye michezo ni kweli hawazingatii, ni shule chache zinazozingatia
Naomba unijibu maswali yote. Wewe ni mtu muhimu kwenye huu uzi. Je mnauwezo kitaaluma kuwazidi wa kayumba. Mnauhakika mtawazidi kwenye interview ?
Je ni kweli mna exposure kuliko wa kayumba ?
Je mna connection kuliko wa kayumba ?
 
uwezo wa kitaaluma tunawazidi, O level na A level, Chuo uwanja ni sawa tu labda ukasome mambele

Kuwazidi kwenye interview inategemea sasa, nani alijiandaa vizuri na interview, nani alizingatia chuo zaidi

Exposure unamaanisha nini?

Connection tunawazidi, mfano mimi nilisoma na mtoto wa waziri, mtoto wa mkurugenzi mkubwa EAC, UN, rubani wa fly emirates na wengine wengi.... ukiweza kuendeleza urafiki unaweza ukasaidika mbeleni
 
Hapo hapo hapati muda wa kupumzika wala kucheza ku enjoy utoto wake, maana kila siku ana home work, na likizo hakuna kufunga shule kisingizio ni kujiandaa na mitihani. Hapo Mtoto anapata depression toka utotoni maskini.
Pamoja na kusoma kwote huko na ada kubwa sijawahi sikia kuna Mtoto wa Kitanzania amegundua hata ganda la bati la cover ya Betri hata ile bettty ya national hakuna
 
FRESHMAN naomba uzungumzie huu uwekezaji uliofanywa na ajira zinazotolewa kwenye hizo 'english medium schools/private secondaryschools' na ukiweza tuambie wazazi wote wakipeleka watoto wao kwenye shule za umma, hizi shule zifungwe?
swali zuri sana
 
Wazazi wengi wana msongo wa mawazo kutokana na stress za kutafuta ada za shule za kina junior wao wanaosoma english medium eg. Atlas, Tusiime, etc. Muda wa kulipa ada ukifika mzazi anakuwa na hasira hasira tu sababu ya msongo wa mawazo
Watoto na wao wana msongo wa mawazo kutokana na ratiba ya shule zao hizo za kisasa english medium. School bus inakuja saa 11 alfajiri na kumrudisha saa 12 jioni. Hapo mtoto kabebeshwa bonge la begi mgongoni lenye vitabu ma madaftari ya masomo yote.

Hapo hapo hapati muda wa kupumzika wala kucheza ku enjoy utoto wake, maana kila siku ana home work, na likizo hakuna kufunga shule kisingizio ni kujiandaa na mitihani. Hapo Mtoto anapata depression toka utotoni maskini.

Pili hizi shule zina fake lifestyle, zinamfundisha mtoto softlife ambayo mtaani hakuna hiyo soft life. Vitu kama kufanyiwa usafi, kufatwa na school bus, mtoto huyu huyu akija kukutana na maisha halisia ya kugombea mwendokasi ama daladala anaona anaonewa.

Hapo tena mtoto anakuwa na depression akikosa hiyo soft life after school. Tukumbuke schooling is a lifestyle not a place. Mtu aliyezoea soft lifestyle lazima apate depression akikutana na real life.

Pia hii tabia ya wazazi ku buy education at high price kunawafanya wazazi washindwe kuwekeza kwenye assets zingine ili watoto wao wapate hata pa kuanzia mbeleni.

Mzazi anaishi nyumba ya kupanga ila anatumia milioni 10 kila mwaka kulipia watoto wake ada Atlas ama Tusiime. Mzazi huyu anashindwa kujenga nyumba ya familia yake ama kuanzisha miradi. Siku huyu mzazi akiumwa ama kufukuzwa kazi anakunywa sumu.

Ushauri kwa wazazi ambao bado hatujawekeza vya kutosha tuwe makini na hizi shule za english medium za kisasa.

Serikali pia ibadilike. Demand ya hizi shule ni kubwa sana, waongeze shule za umma, english medium ziwe nyingi. Sio Olimpio na Bunge tu.

Pia Jeshi la kujenga taifa ( JKT) pia.. lisiishie kuwekeza kwenye kujenga kumbi za harusi, kujenga fremu, bar na mambo ya catering tu JKT lingewekeza kwenye low cost english medium primary schools kwenye miji mikubwa. Bei za ada zao ziwe kama olimpio na bunge.
Hizo shule ziko chache sana ......kila wilaya hailkuna shule hizi zaidi 1 au 2 au hakuma......lazima kuwepo na options ....la msingi usiusemee moyo peleka wako unapoona panafaa......taguta pesa mkuu....
 
maneno makali
 
Back
Top Bottom