Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,039
- 6,253
Miaka 8, wako primaryWatoto wake wana umri gani now? Wapo primary au secondary?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka 8, wako primaryWatoto wake wana umri gani now? Wapo primary au secondary?
Duh aisee msaidie ndugu yako haraka sana.Miaka 8, wako primary
Miaka 8, wako primary
Miaka 8, wako primary
SahihiMimi nikipata shule kama nilizosoma na waalimu wazalendo kama walionifundisha nitakuwa tayari kuwapeleka watoto palepale. Nilisoma shule ya msingi tukiwa wanafunzi wachache darasani huku waalimu wakiwa wa kutosha wanaoipenda kazi yao. Hakukuwa na tuition lakini tulifaulu na kwenda shule nzuri za serikali form one. Nikiwa sekondari kwenye shule ya serikali kama ningefeli form four basi ningekubali adhabu kali dhidi yangu. Shule niliyosoma ilikuwa na kila kitu. Practicals za sayansi tumefanya kuanzia form one. Yaani tukiwa form four tulikuwa tunawaza utapiga point ngapi kwenye kombi. Basic Mathematics nilifundishwa na waalimu wanne tofauti. Yaani kila kidato na mwalimu wake. Mkuu Likud kuna shule za serikali ni zaidi ya hizo za private. Serikali ikiboresha shule zake basi za private zitakufa kifo kibaya mno.
Sahihi 100%Tatizo kubwa ni wazazi kuliko shule tajwa.
wazazi wa sasa umagharibi ni mwingi sana.
watoto wa sasa hawafanyishwi kazi kabisa wanakosa stadi muhimu za maisha na nidhamu njema kutoka kwa wazazi.
Mtoto wa kike kila kitu anafanyiwa na housegirl
Mtoto wa kiume kila kitu anafanyiwa na housegirl
Mzee wangu alikua anatukorogesha zege, tunabebeshwa zege, na kweli unajifunza vingi na sio kuwa tegemezi.
Hata kama mzazi una kipato kizuri usimuendekeze mtoto, wewe na kipato chako huna mkataba na muumba, maarifa bora na elimu kwa watoto wako ndio jambo kubwa kuliko vyote, unaweza kuwaachia vipato vikapotea vyote chaap kwasababu hawakupata maarifa sahihi.
Maarifa sahihi sio tu kufaulu mtihani darasani bali nidhamu katika mbinu zote za maisha.
Ni heri anaepata sifuri mwenye nidhamu kuliko mwenye A++ asiyejitambua.
Hili sasa ndilo janga la kitaifa kabisa. Na ukumbuke shule za bongo watoto wanasoma ili wapate ajira na hatimaye wapate pesa za kuendeshea maisha. Hii ni sawa na betting ambapo unaweka stake kubwa iliu pate mamilion matokeo yake mkeka unachanika unakuachia stress tupu!Kuna familia moja inasomesha watoto 3 International school , ada ni 25 milioni kwa mtoto. Juzijuzi anahaha kuuza kiwanja ili apate milioni 75 alipie watoto ada. Kwa hiyo watoto hadi wamalize shule inaweza kufikia hata billion. Huu ni uwekezaji usio na tija. Soko lenyewe la ajira hapa bongo tunalijua. Hizo sijui milioni 75 kwa mwaka ungenunua hata bond za serikali ungepata faida endelevu, pia watoto wangefaidika na uwekezaji huo lakini wewe umepeleka zote shule mpaka unauza assets. Kazi kweli.
Wengi wao wanaongea broken za kutosha lakini kwa kuwa wazazi ni limbukeni wakisikia mwalimu anaongea English wanadhani ni msomi kumbe kanjanja tu. Mimi niliwashtukia siku nyingi. Nimewahi kuona mwanangu kapewa homework ya kukariri marais wa nchi za Afrika lakini nilipopekua kwenye syllabus sikuona topic au subtopic ya aina hiyo. Wengi wa walimu hawa wanafundisha mambo wanayoyajua wenyewe bila kufuata syllabus. Mitihani ikikaribia wanaanza kuwakaririsha wanafunzi majibu. Wanafunzi wa shule za medium uelewa wao unaishia kwenye kujibu maswali na kuongea broken English walizofundishwa na walimu wao. Hawana kingine zaidi ya hicho.Baadhi ya shule za English mediam hapa Tz ni changamoto sana ada yao kubwa average ni 1.2m hadi 2m lakini wanafunzi wanacho pata akiendane na hiyo ada ni likuta mwalimu mmoja hata kiingereza ni kibovu hata kuliko cha mwanangu nili mskia ana mwamlisha mtoto "dont repeat me" kwamaana usinifuatishe maneno.....I was dis appointed.
Hapo kwenye PS nakazia. Niliwahi kutembelea chuoni nikakuta mwanafunzi anacheza nikaja hapa JF nikafungua uzi kulaumu matumizi mabaya ya muda na fedha za wazazi wake. Watu walininanga sana:Nakumbuka ile mwaka wa kwaza chuo kikuu roommates wangu watatu walisoma tusiime...aseee hawakufikisha semista mbili DISCO... course ilikuwa ngumu balaa tujamaa kuna mda hatutak kwenda lecture room...mda wote n PS na kudeka kwa wazaz... Alisepa one by one home ....Ndoo shule za English medium outputs zake n kama hizi..
Mkuu umeongea ukweli 101%.....siongezi kitu 💪 💪Kuna kitu mnashindwa kukielewa huo usoft wa mtoto mnaosema au kuona maisha rahisi au kuona kuwa yeye ana anapaswa kuwa na priviledge kuliko wengine anakuwa mlalamikaji sana belive me msingi wake sio shule
Mentality ya mzaz wa kitanzania alielewa kwenye shida au maisha ya kawaida ambaye ana uchu wa Maisha bora akija kuyapata utasikia mie nimeishi kwa shida sitak mwanangu apate shida mtoto au watoto wanageuzwa mboni za jicho haguswi na anapewa na kufanyiwa kila kitu..
Mwisho wa siku ndo ukubwan anapata shida huko kwenye mashule ya private sababu huo mfumo wa kulea watoto kama mboni za jicho upo nao wanaoanzisha hizo shule wanajaribu kuwaridhisha wazaz ili wapate ada
Ila amini nakwambia shule bora kabisa ya maisha kwa mwanao inaanzia kwenye malez yako.. kutokana na utakavyomlea ndio kutamfanya awe group leader ama
Follower.. hata huko kwenye hizo shule za soft utaona kuna watoto wana influence tabia kwa watoto wengine maana yake malez ya huyo mtoto yanakwenda kuathiri watoto wengine mashulen iwe in posotive au negative way so kama mtoto wako utamlea kuwa independent automaticaly yeye ndo atainfluence tabia kwa wengine hata copy za wengine
Mwisho kwenye jamii zetu za ngozi nyeusi circle ya maisha iko hv... babu kama alitaabika ujanan baba yako atajua kupambana na maisha na atatoboa ww utaishi maisha ya usoft maana maisha bora umeyarithi mwanao ataishi maisha ya tabu baada ya kutapanya mali maana hukumfundisha kuwa mpambanaji sababu ww hukufundishwa so matokeo yake mjukuu wako ataanzia moja kwenye maisha kama
Babu yako ..
kwa kifupi kwa alieshi maisha ya tabu akitoboa mali zake zitadumu kwenye generation zake mbili tu si zaid ya hapo sababu tunawalea vizaz vyetu kama Mboni.. mwisho wanashindwa kujimudu..
Huoni wazungu na watu wa asia kampuni
Ilianzishwa 30 years ago bado ipo mikonon mwa Familia
Kwa wabongo utakura historia babu yako au baba alikuwa anamiliki kampun x au biashara x
Unajua ada ya HOPAC? ndio wanasoma hukoKuna harufu ya uongo hapa
Nakazia 100%. Kule kijijini kwetu kulikuwa na kijana mmoja aliyekuwa anajifanya msomi ilhali yupo sekondari tu. Akirudi nyumbani alikuwa hawasaidii wazazi kulima wala kuchunga ng'ombe. Mwisho wa siku alipata sifuri akarudi kijijini kulima na kuchunga ng'ombe......kazi alizokuwa hazipendi mwanzo.Tatizo kubwa ni wazazi kuliko shule tajwa.
wazazi wa sasa umagharibi ni mwingi sana.
watoto wa sasa hawafanyishwi kazi kabisa wanakosa stadi muhimu za maisha na nidhamu njema kutoka kwa wazazi.
Mtoto wa kike kila kitu anafanyiwa na housegirl
Mtoto wa kiume kila kitu anafanyiwa na housegirl
Mzee wangu alikua anatukorogesha zege, tunabebeshwa zege, na kweli unajifunza vingi na sio kuwa tegemezi.
Hata kama mzazi una kipato kizuri usimuendekeze mtoto, wewe na kipato chako huna mkataba na muumba, maarifa bora na elimu kwa watoto wako ndio jambo kubwa kuliko vyote, unaweza kuwaachia vipato vikapotea vyote chaap kwasababu hawakupata maarifa sahihi.
Maarifa sahihi sio tu kufaulu mtihani darasani bali nidhamu katika mbinu zote za maisha.
Ni heri anaepata sifuri mwenye nidhamu kuliko mwenye A++ asiyejitambua.
Umeandika sana il suluhusisho hapo ni kuacha kuzaa watoto wengi zama zimebadilika stress mnazitafuta wenyewe.. mtu anahangaika kuzaa watoto sijui wanne n.k wote wanini ikiwa huna pa kuwapeleka na kuwahudumia vyema? Stress zinaanzia hapoWazazi wengi wana msongo wa mawazo kutokana na stress za kutafuta ada za shule za kina junior wao wanaosoma english medium eg. Atlas, Tusiime, etc. Muda wa kulipa ada ukifika mzazi anakuwa na hasira hasira tu sababu ya msongo wa mawazo
Watoto na wao wana msongo wa mawazo kutokana na ratiba ya shule zao hizo za kisasa english medium. School bus inakuja saa 11 alfajiri na kumrudisha saa 12 jioni. Hapo mtoto kabebeshwa bonge la begi mgongoni lenye vitabu ma madaftari ya masomo yote.
Hapo hapo hapati muda wa kupumzika wala kucheza ku enjoy utoto wake, maana kila siku ana home work, na likizo hakuna kufunga shule kisingizio ni kujiandaa na mitihani. Hapo Mtoto anapata depression toka utotoni maskini.
Pili hizi shule zina fake lifestyle, zinamfundisha mtoto softlife ambayo mtaani hakuna hiyo soft life. Vitu kama kufanyiwa usafi, kufatwa na school bus, mtoto huyu huyu akija kukutana na maisha halisia ya kugombea mwendokasi ama daladala anaona anaonewa.
Hapo tena mtoto anakuwa na depression akikosa hiyo soft life after school. Tukumbuke schooling is a lifestyle not a place. Mtu aliyezoea soft lifestyle lazima apate depression akikutana na real life.
Pia hii tabia ya wazazi ku buy education at high price kunawafanya wazazi washindwe kuwekeza kwenye assets zingine ili watoto wao wapate hata pa kuanzia mbeleni.
Mzazi anaishi nyumba ya kupanga ila anatumia milioni 10 kila mwaka kulipia watoto wake ada Atlas ama Tusiime. Mzazi huyu anashindwa kujenga nyumba ya familia yake ama kuanzisha miradi. Siku huyu mzazi akiumwa ama kufukuzwa kazi anakunywa sumu.
Ushauri kwa wazazi ambao bado hatujawekeza vya kutosha tuwe makini na hizi shule za english medium za kisasa.
Serikali pia ibadilike. Demand ya hizi shule ni kubwa sana, waongeze shule za umma, english medium ziwe nyingi. Sio Olimpio na Bunge tu.
Pia Jeshi la kujenga taifa ( JKT) pia.. lisiishie kuwekeza kwenye kujenga kumbi za harusi, kujenga fremu, bar na mambo ya catering tu JKT lingewekeza kwenye low cost english medium primary schools kwenye miji mikubwa. Bei za ada zao ziwe kama olimpio na bunge.
Mimi km Bandokitita niseme tu kuwa kwa aina ya walimu wanaofundisha shule za Uma ni bora km unajiweza peleka mwanao English medium. Huwezi kuamini walimu shule za uma hasa Sekondari wanalalamika kila siku kuwa wanapelekewa watoto wasiojua kusoma, kuandika, na kuhesabu, wakati wao 80% hawawezi kutumia lugha ya kfundushia (English language) kwa ufasaha. Muda mwingine unaweza kuwaza hivi hawa walimu waliokotwa wapi. Hilo liko wazi hata Waziri wa elimu Dr Mkenda alisema anajua kuna walimu hawawezi hata lugha ya kufundushia(English language), na wapo wenye uwezo mdogo ktk kufundisha. Hili alikili mwenyewe kwa kinywa chake. Ndo maan wadau wanasisitiza walimu nao wae wanapewa interview kabla ya kuajiriwa.
Hivi mnakumbuka kipindi Cha hayati Benjamini kuna watu waliingia ualimu kwa kutumia vyeti vya watu na feki. Hadi mabamedi walienda vyuoni kusomea ualimu na wakaajiliwa. Heko mwendazake uliwapuruni kwelikweli.
Hivi mnakumbuka enzi za utawala wa mheshimiwa wa Msoga. Kulikuwa na kozi ya miez 3 a.k.a voda faster, waliomaliza form 6 walipiga na kwenda kufundisha, ingawa hawa walipewa sharti la kujiendekeza.
Ktk utawaka wa huyo huyo wa Msoga, walimu wa shule za msingi (form 4) walijiendeleza kwa fujo kwa kusovu past papers za form 6 na walipopata credit (Yani E, E) walienda diploma na waliporudi wakapelekwa secondari badala ya kurudi primary. Wengine baada ya vyuo vikuu kuota km uyoga walipopata D, D kwenye matokeo yao ya form 6 walienda vyuo vikuu na walipomaliza walipelekwa Sekondari badala ya kurudi primary. Hawa waliotoka primary wakiwa either na diploma/degree ndo wengi wao ni wabovu wa kupindukia.
Mtu unawaza, inakuaje mtu asome kizimamoto kwa kosovu tu maswali kwa miezi kadhaa afaulu na kuwa mwalimu bora. Elimu ingekuwa rahisi hivyo watu wasingekuwa wanaingia darasani kupoteza muda wa miak 2 kwa ajili ya form 5-6.
Haya yote ndo yanafanya shule za uma zinaonekana mbovu. Mimi nawapenda sn walimu na siku zote nimekuwa mtetez wao sababu walinitoa ujinga na wanaendelea kutufundishia watoto wetu lakini hili la kupeleka mtoto English medium naliunga mkono. Serikalini huko hasa hizi za kata yanahitajiika maombi mwalimu.
Hivi watoto kama hawa wanapenyaje kuingia sekondari kama sio kwa sababu ya mitihani ya kubet? Ipo haja ya kuangalia namna nzuri ya kutunga mitihani. Nashauri utaratibu wa zamani urudishwe ambapo kila mtahiniwa awe anajaza majibu yeye mwenyewe badala ya kuchagua. Hili likifanyika, wanafunzi wasiojua kusoma watajichekecha wenyewe. Ni afadhali kuwa na wanafunzi wachache darasani kuliko kujisifia kisiasa kuingiza wanafunzi wengi sekondari kwa kuwatungia mitihani ya kubet.
Hili nalo mkalifanyie kazi.Wazazi wengi wana msongo wa mawazo kutokana na stress za kutafuta ada za shule za kina junior wao wanaosoma english medium eg. Atlas, Tusiime, etc. Muda wa kulipa ada ukifika mzazi anakuwa na hasira hasira tu sababu ya msongo wa mawazo
Watoto na wao wana msongo wa mawazo kutokana na ratiba ya shule zao hizo za kisasa english medium. School bus inakuja saa 11 alfajiri na kumrudisha saa 12 jioni. Hapo mtoto kabebeshwa bonge la begi mgongoni lenye vitabu ma madaftari ya masomo yote.
Hapo hapo hapati muda wa kupumzika wala kucheza ku enjoy utoto wake, maana kila siku ana home work, na likizo hakuna kufunga shule kisingizio ni kujiandaa na mitihani. Hapo Mtoto anapata depression toka utotoni maskini.
Pili hizi shule zina fake lifestyle, zinamfundisha mtoto softlife ambayo mtaani hakuna hiyo soft life. Vitu kama kufanyiwa usafi, kufatwa na school bus, mtoto huyu huyu akija kukutana na maisha halisia ya kugombea mwendokasi ama daladala anaona anaonewa.
Hapo tena mtoto anakuwa na depression akikosa hiyo soft life after school. Tukumbuke schooling is a lifestyle not a place. Mtu aliyezoea soft lifestyle lazima apate depression akikutana na real life.
Pia hii tabia ya wazazi ku buy education at high price kunawafanya wazazi washindwe kuwekeza kwenye assets zingine ili watoto wao wapate hata pa kuanzia mbeleni.
Mzazi anaishi nyumba ya kupanga ila anatumia milioni 10 kila mwaka kulipia watoto wake ada Atlas ama Tusiime. Mzazi huyu anashindwa kujenga nyumba ya familia yake ama kuanzisha miradi. Siku huyu mzazi akiumwa ama kufukuzwa kazi anakunywa sumu.
Ushauri kwa wazazi ambao bado hatujawekeza vya kutosha tuwe makini na hizi shule za english medium za kisasa.
Serikali pia ibadilike. Demand ya hizi shule ni kubwa sana, waongeze shule za umma, english medium ziwe nyingi. Sio Olimpio na Bunge tu.
Pia Jeshi la kujenga taifa ( JKT) pia.. lisiishie kuwekeza kwenye kujenga kumbi za harusi, kujenga fremu, bar na mambo ya catering tu JKT lingewekeza kwenye low cost english medium primary schools kwenye miji mikubwa. Bei za ada zao ziwe kama olimpio na bunge.
Waliopita olympio na diamond wengi wako na future nzuri jaribu kufatilia ...hao unaowataja wew ni kwakuwa 98% shule za govt ni za Swahili kwaiyo hesabu ya kawaida TU hata watu wake wata outshine wa hizo shule za olympio na diamond....ila hao hao wachache waliosoma Olympio na diamond Wana posess businesses international level & hata locally huko mitaa ya upanga, ukienda mashirika ya kimataifa wamejaa ,ukienda Dubai , USA ndo usiseme ..Yani Leo hii marekani ukisema uitishe alumni ya olympio na diamond unajaza kijijiWamiliki wa jamiiforums wamesoma kayumba.
Ma CEO wazawa wa mashirika na bank zote Tanzania wamesoma kayumba.
English medium kama Olimpio zipo toka tunapata uhuru mwaka 1961, Arusha school pia ni english medium ya kitambo sana... ila waliosoma hapo hawajafikia nafasi kubwa kama CEO huku wahuni wa kayumba wamezishika hizo nafasi sana tu
Hao uliowataja wanamiliki shule ganiEnglish Medium hizi hizi za kumilikiwa na Mr. And Mrs Mugetta, mtaala wa Necta, walimu wanakimbia kila siku kwa kutolipwa mishahara ndio niwalipe milioni hao kwa mwaka aisee nitakuwa na kichaa ama nini
Mkuu ongea kwa sauti ya chini. Dunia haijawahi kuwa sawaWazazi wengi wana msongo wa mawazo kutokana na stress za kutafuta ada za shule za kina junior wao wanaosoma english medium eg. Atlas, Tusiime, etc. Muda wa kulipa ada ukifika mzazi anakuwa na hasira hasira tu sababu ya msongo wa mawazo