Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuna ka ukweli hivi! Mimi mwenyewe nina vimeo vya kukamilisha kabla ya tarehe 18! Ni vurugu tupu kichwani.
Ukijumlisha na marejesho ya benki, kodi ya awamu ya 3 TRA!! si mchezo.
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔Wazazi wengi wana msongo wa mawazo kutokana na stress za kutafuta ada za shule za kina junior wao wanaosoma english medium eg. Atlas, Tusiime, etc. Muda wa kulipa ada ukifika mzazi anakuwa na hasira hasira tu sababu ya msongo wa mawazo
Watoto na wao wana msongo wa mawazo kutokana na ratiba ya shule zao hizo za kisasa english medium. School bus inakuja saa 11 alfajiri na kumrudisha saa 12 jioni. Hapo mtoto kabebeshwa bonge la begi mgongoni lenye vitabu ma madaftari ya masomo yote.
Hapo hapo hapati muda wa kupumzika wala kucheza ku enjoy utoto wake, maana kila siku ana home work, na likizo hakuna kufunga shule kisingizio ni kujiandaa na mitihani. Hapo Mtoto anapata depression toka utotoni maskini.
Pili hizi shule zina fake lifestyle, zinamfundisha mtoto softlife ambayo mtaani hakuna hiyo soft life. Vitu kama kufanyiwa usafi, kufatwa na school bus, mtoto huyu huyu akija kukutana na maisha halisia ya kugombea mwendokasi ama daladala anaona anaonewa.
Hapo tena mtoto anakuwa na depression akikosa hiyo soft life after school. Tukumbuke schooling is a lifestyle not a place. Mtu aliyezoea soft lifestyle lazima apate depression akikutana na real life.
Pia hii tabia ya wazazi ku buy education at high price kunawafanya wazazi washindwe kuwekeza kwenye assets zingine ili watoto wao wapate hata pa kuanzia mbeleni.
Mzazi anaishi nyumba ya kupanga ila anatumia milioni 10 kila mwaka kulipia watoto wake ada Atlas ama Tusiime. Mzazi huyu anashindwa kujenga nyumba ya familia yake ama kuanzisha miradi. Siku huyu mzazi akiumwa ama kufukuzwa kazi anakunywa sumu.
Ushauri kwa wazazi ambao bado hatujawekeza vya kutosha tuwe makini na hizi shule za english medium za kisasa.
Serikali pia ibadilike. Demand ya hizi shule ni kubwa sana, waongeze shule za umma, english medium ziwe nyingi. Sio Olimpio na Bunge tu.
Pia Jeshi la kujenga taifa ( JKT) pia.. lisiishie kuwekeza kwenye kujenga kumbi za harusi, kujenga fremu, bar na mambo ya catering tu JKT lingewekeza kwenye low cost english medium primary schools kwenye miji mikubwa. Bei za ada zao ziwe kama olimpio na bunge.
Ndiyo ukubwa. Naongelea malipo ya kodi TRA. Huwa ninalipa kwa awamu 4 mwaka! Machi, Juni, Septemba na Disemba.Pole sana ndugu. Awamu ya 3 ama awamu ya 6 ?
Kuna jambo hapaWazazi wengi wana msongo wa mawazo kutokana na stress za kutafuta ada za shule za kina junior wao wanaosoma english medium eg. Atlas, Tusiime, etc. Muda wa kulipa ada ukifika mzazi anakuwa na hasira hasira tu sababu ya msongo wa mawazo
Watoto na wao wana msongo wa mawazo kutokana na ratiba ya shule zao hizo za kisasa english medium. School bus inakuja saa 11 alfajiri na kumrudisha saa 12 jioni. Hapo mtoto kabebeshwa bonge la begi mgongoni lenye vitabu ma madaftari ya masomo yote.
Hapo hapo hapati muda wa kupumzika wala kucheza ku enjoy utoto wake, maana kila siku ana home work, na likizo hakuna kufunga shule kisingizio ni kujiandaa na mitihani. Hapo Mtoto anapata depression toka utotoni maskini.
Pili hizi shule zina fake lifestyle, zinamfundisha mtoto softlife ambayo mtaani hakuna hiyo soft life. Vitu kama kufanyiwa usafi, kufatwa na school bus, mtoto huyu huyu akija kukutana na maisha halisia ya kugombea mwendokasi ama daladala anaona anaonewa.
Hapo tena mtoto anakuwa na depression akikosa hiyo soft life after school. Tukumbuke schooling is a lifestyle not a place. Mtu aliyezoea soft lifestyle lazima apate depression akikutana na real life.
Pia hii tabia ya wazazi ku buy education at high price kunawafanya wazazi washindwe kuwekeza kwenye assets zingine ili watoto wao wapate hata pa kuanzia mbeleni.
Mzazi anaishi nyumba ya kupanga ila anatumia milioni 10 kila mwaka kulipia watoto wake ada Atlas ama Tusiime. Mzazi huyu anashindwa kujenga nyumba ya familia yake ama kuanzisha miradi. Siku huyu mzazi akiumwa ama kufukuzwa kazi anakunywa sumu.
Ushauri kwa wazazi ambao bado hatujawekeza vya kutosha tuwe makini na hizi shule za english medium za kisasa.
Serikali pia ibadilike. Demand ya hizi shule ni kubwa sana, waongeze shule za umma, english medium ziwe nyingi. Sio Olimpio na Bunge tu.
Pia Jeshi la kujenga taifa ( JKT) pia.. lisiishie kuwekeza kwenye kujenga kumbi za harusi, kujenga fremu, bar na mambo ya catering tu JKT lingewekeza kwenye low cost english medium primary schools kwenye miji mikubwa. Bei za ada zao ziwe kama olimpio na bunge.
Hapo kwenye fake life la school ndio hatari. Mtoto anashindishwa shule anasoma weee. Mtoto anafika Shule hafagii darasa wala eneo, anakunywa uji anaoshewa kikombe, anakula chakula anaoshewa sahani, yeye ni kusoma tu. Nyumbani hana muda wa kukaa 11 alfajiri hadi 12 jioni.Wazazi wengi wana msongo wa mawazo kutokana na stress za kutafuta ada za shule za kina junior wao wanaosoma english medium eg. Atlas, Tusiime, etc. Muda wa kulipa ada ukifika mzazi anakuwa na hasira hasira tu sababu ya msongo wa mawazo
Watoto na wao wana msongo wa mawazo kutokana na ratiba ya shule zao hizo za kisasa english medium. School bus inakuja saa 11 alfajiri na kumrudisha saa 12 jioni. Hapo mtoto kabebeshwa bonge la begi mgongoni lenye vitabu ma madaftari ya masomo yote.
Hapo hapo hapati muda wa kupumzika wala kucheza ku enjoy utoto wake, maana kila siku ana home work, na likizo hakuna kufunga shule kisingizio ni kujiandaa na mitihani. Hapo Mtoto anapata depression toka utotoni maskini.
Pili hizi shule zina fake lifestyle, zinamfundisha mtoto softlife ambayo mtaani hakuna hiyo soft life. Vitu kama kufanyiwa usafi, kufatwa na school bus, mtoto huyu huyu akija kukutana na maisha halisia ya kugombea mwendokasi ama daladala anaona anaonewa.
Hapo tena mtoto anakuwa na depression akikosa hiyo soft life after school. Tukumbuke schooling is a lifestyle not a place. Mtu aliyezoea soft lifestyle lazima apate depression akikutana na real life.
Pia hii tabia ya wazazi ku buy education at high price kunawafanya wazazi washindwe kuwekeza kwenye assets zingine ili watoto wao wapate hata pa kuanzia mbeleni.
Mzazi anaishi nyumba ya kupanga ila anatumia milioni 10 kila mwaka kulipia watoto wake ada Atlas ama Tusiime. Mzazi huyu anashindwa kujenga nyumba ya familia yake ama kuanzisha miradi. Siku huyu mzazi akiumwa ama kufukuzwa kazi anakunywa sumu.
Ushauri kwa wazazi ambao bado hatujawekeza vya kutosha tuwe makini na hizi shule za english medium za kisasa.
Serikali pia ibadilike. Demand ya hizi shule ni kubwa sana, waongeze shule za umma, english medium ziwe nyingi. Sio Olimpio na Bunge tu.
Pia Jeshi la kujenga taifa ( JKT) pia.. lisiishie kuwekeza kwenye kujenga kumbi za harusi, kujenga fremu, bar na mambo ya catering tu JKT lingewekeza kwenye low cost english medium primary schools kwenye miji mikubwa. Bei za ada zao ziwe kama olimpio na bunge.
Kuna familia moja inasomesha watoto 3 International school , ada ni 25 milioni kwa mtoto. Juzijuzi anahaha kuuza kiwanja ili apate milioni 75 alipie watoto ada. Kwa hiyo watoto hadi wamalize shule inaweza kufikia hata billion. Huu ni uwekezaji usio na tija. Soko lenyewe la ajira hapa bongo tunalijua. Hizo sijui milioni 75 kwa mwaka ungenunua hata bond za serikali ungepata faida endelevu, pia watoto wangefaidika na uwekezaji huo lakini wewe umepeleka zote shule mpaka unauza assets. Kazi kweli.
Wacha wivu..tafuta hela umpeleke mtoto Academy aje apate kazi DP World! Wallah mwenye elimu ya Kayumba hana future nchi hii zaidi ya kuwa shabiki na chawa wa CCM!Utawakiwa vibaya mno, watakuambia tafuta hela, wana majibu mabaya, ukweli ndiyo ulivyo kwa shule hizo za fasheni. Utakuta mwingine ni hohehahe eti naye atajikakamua apeleke mtoto wake huko ili aonekane anazo kutaka sifa za kijinga huku akiumia.
Kwanza hiyo elimu inayotolewa huko ni ya kawaida tu kama ya umma na haina maajabu ya kumfanya mtoto awe fiti kimasomo. Labda ataambulia kiiengereza cha kubabaisha
Wqchabw
Wacha wivu..tafuta hela umpeleke mtoto Academy aje apate kazi DP World! Wallah mwenye elimu ya Kayumba hana future nchi hii zaidi ya kuwa shabiki na chawa wa CCM!
Kuna wa mishahara wamepeleka International school na wanahaha pia. Ni uwekezaji mbovu. Hii inaongeza stress kwa wazazi pia.Hao wa international school wapo level ya juu sana. Wengi vipato vyao vikubwa vina afford hizo ada.
Mtoto Hawezi kwenda Hopac, Feza international ama IST kwa kutegemea baba au mama mwenye mshahara wa milioni moja ama mbili kwa mwezi.
Pia international schools mtoto achukuliwi na school bus saa 11 alfajiri na kurudishwa saa 12 jioni. Na wala likizo habakishwi shule sababu ya kujiandaa na mtihani
Hoja yangu imeongelea english medium zinazofata sylabus ya necta. Mfano Tusiime, Atlas , etc..
Maana shule hizi wazazi wengi wenye mishahara midogo wamepeleka watoto wao. Huku wanateseka kwa msongo wa mawazo muda wa ada ukifika.
Binti yangu anamaliza form iv mwaka huuu nimemsomesha since vidudu private!! Haki ya Mungu nilikiona Cha mtema Kuni!? Wadogo zake nimesha waalert "ni mwendo wa kidumu na mfagio" sitaki tena ujinga !!!
Nitanunua vitabu na kutafuta walimu wa tuishen
Naa hao hao ndo wanatuuza kwa DP world kwa rushwa ya suti na whiskey! Nchi hii lazima uielewe kwenda nayo sawa.Wamiliki wa jamiiforums wamesoma kayumba.
Ma CEO wazawa wa mashirika na bank zote Tanzania wamesoma kayumba.
English medium kama Olimpio zipo toka tunapata uhuru mwaka 1961, Arusha school pia ni english medium ya kitambo sana... ila waliosoma hapo hawajafikia nafasi kubwa kama CEO huku wahuni wa kayumba wamezishika hizo nafasi sana tu
AsanteMtoto lazima asome shule nzuri Apate chakula kizuri alale Sehemu nzuri na hiyo ndo maana halisi ya Maisha that all tuache hisia life is shit
Kwa sababu siyo rahisi mtu akasoma IST au ISM akaja kufundisha vyuo vyetu vya kibongo. Wanaweza kuwepo ila ni wachache sana.Halafu cha kushangaza akifika chuo kikuu udsm.. anaongozwa na wanafunzi waliosoma kayumba... best students udsm huwa kayumba products enzi wakiwa shule za msingi
Kwa sababu siyo rahisi mtu akasoma IST au ISM akaja kufundisha vyuo vyetu vya kibongo. Wanaweza kuwepo ila ni wachache sana.