SHULE ZA MSINGI ZAIDI YA 468 ZIMEJENGWA TANGU RAIS SAMIA ALIPOINGIA MADARAKANI

Joined
Aug 11, 2024
Posts
54
Reaction score
24
Tangu kuingia madarakani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mwaka 2021, shule za msingi mpya zaidi ya 468 zimejengwa huku vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 vipya vya msingi na Sekondari vimejengwa, lakini kama haitoshi kumejengwa shule za awali 1,600 ambazo hazikuwepo hapo awali.

Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan amehakikisha amejenga mabweni mapya 1600 ili kuwapunguzia umbali wanafunzi wanaoitafuta elimu ambapo zaidi ya shilingi Trilioni 3.98 zimewekwa kwenye ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI ili tu kuboresha miundombinu ya elimu nchini.

Rais Samia ametekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM Ibara ya 80 (i)(a) inayoelekeza Kujenga na kukarabati miundombinu ya elimu pamoja na kuhifadhi na kuendeleza mazingira ya shule hizo.

#KazinaUtu
#TunasongaMbele
 
Attachments

  • WhatsApp Video 2025-03-13 at 03.14.14.mp4
    17.2 MB

KOSA YOTE ila usikose AKILI
 
Unaweza Kututajia Kata na Wilaya Zake..
Je Ni mpya au Ni Renovation??
 
Danganya toto hapa tu dar es salaam sijui hata shule moja iliyo karabatiwa sembuse kujengwa ...
 
Mjinga sana, tupe na orodha ya watu waliotekwa na kupotezwa/kuuawa
 
Malizia kwa fedha zilizotolewa kwa mikopo ili kupambana na UVIKO
 
Tangu kuingia madarakani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mwaka 2021, shule za msingi mpya zaidi ya 468 zimejengwa huku vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 vipya vya msingi na Sekondari vimejengwa, lakini kama haitoshi kumejengwa shule za awali 1,600 ambazo hazikuwepo hapo awali.

Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan amehakikisha amejenga mabweni mapya 1600 ili kuwapunguzia umbali wanafunzi wanaoitafuta elimu ambapo zaidi ya shilingi Trilioni 3.98 zimewekwa kwenye ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI ili tu kuboresha miundombinu ya elimu nchini.

Rais Samia ametekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM Ibara ya 80 (i)(a) inayoelekeza Kujenga na kukarabati miundombinu ya elimu pamoja na kuhifadhi na kuendeleza mazingira ya shule hizo.

#KazinaUtu
#TunasongaMbele
Kwahiyo???? Mjukuu wa samia anasoma pale? Usiwe mjinga kupitia ujinga wenyewe. Hizo shule haziishi kujengwa tu. Toka uhuru mpaka Leo kila Rais anajenga shule tu kwani hatujafika mwisho wa kujenga shule? Na kama Bado basi tunaongozwa na matapeli.
 
Unataka kusema shule zilizojengwa zinatosha Serikali isijenge tena shule? Je vipi kama kutakuwa na ongezeko la uandikishaji watoto na Shule zikawa hazitoshi?

Mimi nafikiri Sherikali inejenga Shule hizi kulingana na mahitaji au kupunguza umbali wa watoto kwenda kufuata elimu, pamoja na kuwapunguzia adha ya kupata madhila ya unyanyasaji wa kijinsia pamoja na ubakaji na hata kusababishiwa vifo na watu madhalimu.
 
Back
Top Bottom