wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
Sioni sababu ya shule za sekondari za serikali kufanya vizuri kuliko za watu au mashirika binafsi. Ila naamini kuna mkakati wa kuzifuta shule za binafsi kwa njia ile ile iliyotumika kuvidhoofisha vyama vya upinzani. Wenye povu au hoja tofauti mnakaribishwa.
Nakuunga mkono Private ni wazuri o-levelShule nyingi advance wanaoenda secondary huwa wanachaguliwa vipimgi na vichwa haswa, tofauti na private ambao huiiba mithinani ili wafaulu. Nimesoma government mojaaapo ya shule kongwa hapa nchi darasa Zima tulifaulu kwa division one Hadi three na hapo tulikuwa tunafundishwa kawaida tu Tena tulipata wanafunzi walioingia kumi Bora kitaifa kwa miaka miwili mfululizo. Government School kwa advance level huwa nzuri kuliko huko private loh
Kwann ? Maana A level shule nyingi za serikali hasa za science hazina waalimu na vitendea kaziA level serikali hufanya vizuri
Ila kujivunia ufaulu ni upuuzi mtupu ikiwa hiyo elimu haimfanyi mhitimu kujitambua
Wanafunzi hujitambua na Mara nyingi hufundishana wao kwa wao hawategemei sana walimu, mi nimesoma kisimiri kulikuwa na walimu wawili tu ila tulikuwa tunafundishana wenyeweKwann ? Maana A level shule nyingi za serikali hasa za science hazina waalimu na vitendea kazi
Na Tena wengi waliopata division three mwaka wetu walitoka shule za st Francis ya mbeya na Marian wakati wao ndo walikuja na one ya nane kutoka huko kwao private walivo kuja government wakawa wanakuwa wa mwisho. Waliotoka government hujitaftia kufaulu na kukiwa na walimu wazuri ni lazima mfaulu wote.Nakuunga mkono Private ni wazuri o-level
Ila Advance ni serikali miaka yote toka Uhuru iko hivyo.
Private school nyingi hazina investment na resources kwenye elimu ya form five na six
Wengi hawajui Hilo kwa government wengi huwa wamepiga tuition na kufundishana wenyewe kwa wenyewe. Kwa advance level na wengi hupelekwa waliofaulu vizuri wamezoea kujisomea tofauti na private too much spoon feedingWanafunzi hujitambua na Mara nyingi hufundishana wao kwa wao hawategemei sana walimu, mi nimesoma kisimiri kulikuwa na walimu wawili tu ila tulikuwa tunafundishana wenyewe