Shule zilizoshika mkia matokeo ya Kidato cha Nne 2022

Yani kitu pekee mnachojivunia nacho ni hicho kutawaza matako baada ya kujisaidia,, πŸ˜‚πŸ˜‚
viongozi wote wa nchi hii wametokea pwani, ukiacha mchonga,, hata wewe mida hii una ndoto za kuja kuishi pwani na sio kwenu chunya,, na unatamani hata siku moja ukutane na mkunyenge wa mzaramo ili uje uwatambie wa kwenu chunya..
 
viongozi wote wa nchi hii wametokea pwani, ukiacha mchonga,, hata wewe mida hii una ndoto za kuja kuishi pwani na sio kwenu chunya,, na utamani hata siku moja ukutane na mkunyenge wa mzaramo ili uje uwatambie wa kwenu chunya..
Mngejikita kutoa mawazo yenu mjisaidie mtoke mkiani
 
Hiyo mishule ingefungwa tu, hayo madarasa wananchi wayatumie kufugia bata.
 
viongozi wote wa nchi hii wametokea pwani, ukiacha mchonga,, hata wewe mida hii una ndoto za kuja kuishi pwani na sio kwenu chunya,, na unatamani hata siku moja ukutane na mkunyenge wa mzaramo ili uje uwatambie wa kwenu chunya..
Unapoteza muda na nguvu zako kwa mambo ya kipuuzi, unajivunia hiyo pwani as if hata wewe binafsi unamiliki kitu cha maana.sana sana utakua na kishamba uchwara cha minazi
 
Jamani si tulishaongea na ulipewa maelekezo .
 
Maelekezo ulishapewa kila kitu au unataka turudie.
 
Msije mkawa mnatumia akili za hao watoto katika kufanikiwa kwenu wao wakati wanaharibikiwa.
Nenda Kariako na Mwanza wamiliki wa mali na maghorofa ya kifahari ni people from Pwani.

Nyie endeleeni kusoma na kufaulu sana
 
Wambie wambie Amir
 
Nenda Kariako na Mwanza wamiliki wa mali na maghorofa ya kifahari ni people from Pwani.

Nyie endeleeni kusoma na kufaulu sana

Watu wa pwani wenye asili ya asia,nitajie hao watu wapwani wenye asili ya bongo.
 
viongozi wote wa nchi hii wametokea pwani, ukiacha mchonga,, hata wewe mida hii una ndoto za kuja kuishi pwani na sio kwenu chunya,, na unatamani hata siku moja ukutane na mkunyenge wa mzaramo ili uje uwatambie wa kwenu chunya..
πŸ˜‚πŸ˜‚Wakiitwa wanaume na nyie ni mfano wake au midoli ya kiume yenye kupandwa km wanawake, pyaaaaa kajisafishe vizuri bibi weee bwana apate kupita kwa raha, achana na mie
 
Rudini, enyi watoto wenye kuasi, asema BWANA; maana mimi ni mume wenu;

Mume wenu ana watafuta

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Andiko , mbona simple Sana weka reference ya hiyo ibada imeandikwa kitabu gani
Rudini, enyi watoto wenye kuasi, asema BWANA; maana mimi ni mume wenu;

Mbaya zaidi muna Mungu muongo Duh
Yeremia 4 10
Nami nikasema, Aa, Bwana MUNGU! Hakika umewadanganya sana watu hawa na Yerusalemu, ukisema, Mtakuwa na amani lakini upanga umeingia katika nafsi za watu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Rudini, enyi watoto wenye kuasi, asema BWANA; maana mimi ni mume wenu;

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Rudini, enyi watoto wenye kuasi, asema BWANA; maana mimi ni mume wenu;

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…