Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Sio kweli,hata wavyaa bastola wamo pia.Wote hawa waliofeli wanaunganishwa na kuvaa majambia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli,hata wavyaa bastola wamo pia.Wote hawa waliofeli wanaunganishwa na kuvaa majambia
Sehem zote wanaishi dini mchanganyiko,na wasio na dini.Tumia maarifaHii ni list ya shule zilizoshika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka 2022.
Ukiangalia vizuri kuna kitu kiko very common😃
View attachment 2503295
List imetawaliwa na #TeamMnyaazi
Source: Malisa GJ instagram account
Ukishaenda huo upande wa 'mnyaazi automatic tu dishi linayumba, sasa hakuna namna ya kuwasaidia. Kwanza wakifaulu hao tutakosa wavuvi wadogo wadogo waache tuWaislamu wafanyaje watoke mkiani?
We nae acha kujifanya una akili sana. Hilo liko obvious. Kwan ukiambiwa nchi za kiislamu maana yake wote ni waislamu? Au unahisi wote walio vatican ni roman catholic? Acha ujinga. Stop pointing the obviousSehem zote wanaishi dini mchanganyiko,na wasio na dini.Tumia maarifa
Ngoma ni planHii ni list ya shule zilizoshika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka 2022.
Ukiangalia vizuri kuna kitu kiko very common😃
View attachment 2503295
List imetawaliwa na #TeamMnyaazi
Source: Malisa GJ instagram account
Mbona sijaona aliponyesha udini? Kuna dini yoyote hapo imetajwa?Udini utakupeleka wapi wewe..
Hukupaswa kuonesha hisia zako za chuki dhidi ya imani isiyo kuhusu.
Ukifanya yanayo kuhusu utaishi kwa amani.
Ni shule ngapi za kiislamu zimefanya vizuri....
Kuna shule ngapi za kiislamu na asilima ya kufanya vizuri au vibaya...?
Kuna shule ngapi za kikristo...na asilimia za kufanya vizuri au vibaya..?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Huna akiliWapi nimetaja dini,? Asiye na akili kati yetu nani?
Niliwahi kwenda zenj, kule kila mtu anaamini bakhressa ni ndugu yake. Alafu hao watu wenyewe sasa hata kula tu tabuNaskitika sana na hii post. Hivi kweli unaeza fananisha kikwete,baresa,samia,mkapa,mwinyi na mwanae na hawa watoto wa mbagara,tabat,chanika,bagamoyo,kusini unguja na vijibweni ambao wenyewe miaka kumi tu wameshaweka vijiti vya kuzuia mimba?
Yaani unawezaje kujisifia kwamba unaishi karibu na matajiri wakati kula yako tu ni ya shida?
Yaani ni sawa na mimi kama mtanzania nione ufahari mo dewij kuwa namba moja kwa utajiri Afrika mashariki na kati.
Kuna code huwa zinatumika.Mbona sijaona aliponyesha udini? Kuna dini yoyote hapo imetajwa?
SMbona umemsahau jiwe?
Hivi Kati ya Geita ambako mtoto wa miaka 15 unakuta kaolewa na Ana watoto 2 na Zanzibar ni wapi Kuna afadhali ya maisha? Au kule Mara mabinti wanafariki kwa kutokwa damu nyingi wakati wanapokeketwa ?Naskitika sana na hii post. Hivi kweli unaeza fananisha kikwete,baresa,samia,mkapa,mwinyi na mwanae na hawa watoto wa mbagara,tabat,chanika,bagamoyo,kusini unguja na vijibweni ambao wenyewe miaka kumi tu wameshaweka vijiti vya kuzuia mimba?
Yaani unawezaje kujisifia kwamba unaishi karibu na matajiri wakati kula yako tu ni ya shida?
Yaani ni sawa na mimi kama mtanzania nione ufahari mo dewij kuwa namba moja kwa utajiri Afrika mashariki na kati.
Mahali kama huko ndyo muhimu serikali ikazie zaidi.Niliwahi kwenda zenj, kule kila mtu anaamini bakhressa ni ndugu yake. Alafu hao watu wenyewe sasa hata kula tu tabu
Acha matusi wewe mjinga. Kama unakereka usicomment hapa. Hujalazimishwa
Unaniita mjinga wakati nimemla mama yako mzazi?Acha matusi wewe mjinga. Kama unakereka usicomment hapa. Hujalazimishwa
Punguza hasira ,Ona ulivyokuwa mshamba na maandazi ...Endelea kushinda matoko wazi kama wamasai wenzio .. Uncivilized!!
Wakristo hawajawahi kupewa injili ya nabii Issa na wala hawamjui huyo Nabii Isa.ni wakiristo na wayahudi kaka...wakiristo injil ya nabii issa na wayahud taurat ya nabii mussa
Nenda kabusu ukuta kule Israel kafiri!!Punguza hasira ,
Wewe ukienda kwenye ibada ya jiwe unavaa Nini ?
Ukuta Hauna maana yoyote kwenye dini yanguNenda kabusu ukuta kule Israel kafiri!!
Hata kitabu si kinatokea huko ule ndo ukristo ..wewe unafuata wazungu wanaomsapot ushoga😂Ukuta Hauna maana yoyote kwenye dini yangu
Ila wewe ibada ya jiwe ukiwa huna nguo za ndani ni muhimu na inamaana kubwa kwenye dini yako
Ukuta Hauna maana kwenye ImaniHata kitabu si kinatokea huko ule ndo ukristo ..wewe unafuata wazungu wanaomsapot ushoga😂