Snowden E
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,668
- 2,908
Udini utakupeleka wapi wewe..Hii ni list ya shule zilizoshika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka 2022.
Ukiangalia vizuri kuna kitu kiko very common[emoji2]
View attachment 2503295
List imetawaliwa na #TeamMnyaazi
Source: Malisa GJ instagram account
Hukupaswa kuonesha hisia zako za chuki dhidi ya imani isiyo kuhusu.
Ukifanya yanayo kuhusu utaishi kwa amani.
Ni shule ngapi za kiislamu zimefanya vizuri....
Kuna shule ngapi za kiislamu na asilima ya kufanya vizuri au vibaya...?
Kuna shule ngapi za kikristo...na asilimia za kufanya vizuri au vibaya..?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app