niquetamere
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 532
- 1,008
- Thread starter
- #21
Maisha yapi?Pwani, Dar na Zanzibar ndio tunao run hii nchi
Marais, mabilionea, wakubwa ndio wametokea hiyo mikoa
Mtatucheka ila ukweli ndio huo, nyie fauluni kwenye mashule sisi tunafaulu kwenye maisha