Pwani, Dar na Zanzibar ndio tunao run hii nchi
Marais, mabilionea, wakubwa ndio wametokea hiyo mikoa
Uchumi wa nchi hii ungekuwa ICU kama sio marais na wafanyabishara kutoka mikoa ya Pwani
Kuanzia Mwinyi aliyefungua nchi iliyokuwa imekabwa na ujamaa wa Nyerere
Mkapa aliyefanya ubinafsishaji wa makampuni yaloyokuwa yanaitia hasara serikali na kuleta uwekezaji mkubwa nchini
Kikwete aliyezidi kuifungua nchi, kukuza uhuru uchumi na watanzania wengi kuwa na furaha
Samia ambaye hadi wapinzani wamekiri anaupiga mwingi
Usishau akina Bakhressa, Turky na top 50 yote ya matajiri wa Tanzania ni asili ya ukanda wa Pwani
Mtatucheka ila ukweli ndio huo, nyie fauluni kwenye mashule sisi tunafaulu kwenye maisha