Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Ungemuuliza ni mchango wa usafi upi hapo shuleni iwapo kufagia,kudeki na kufyeka nyasi hufanywa na wanafunzi.Wewe unaangalia idadi yao wote au hela ya mtoto wako anayotakiwa kutoa? Yaani sh. 300/= kwa mwezi ndio ya kuanzishia uzi? Wanapokuwa wengi si na eneo na mahitaji ya usafi yanavyoongezeka?
NB;Usiangalie kiwango anachotoa mtoto mmoja.Nenda mbele zaidi na ujiulize kama hatuulei wizi wa walimu?