shamariwa chool
JF-Expert Member
- Dec 14, 2024
- 516
- 551
💪Wewe unaangalia idadi yao wote au hela ya mtoto wako anayotakiwa kutoa? Yaani sh. 300/= kwa mwezi ndio ya kuanzishia uzi? Wanapokuwa wengi si na eneo na mahitaji ya usafi yanavyoongezeka?
💪Wewe unaangalia idadi yao wote au hela ya mtoto wako anayotakiwa kutoa? Yaani sh. 300/= kwa mwezi ndio ya kuanzishia uzi? Wanapokuwa wengi si na eneo na mahitaji ya usafi yanavyoongezeka?
Unalalamika kumlipia mtoto shilingi 300 kwa mwezi una uhakika ulipaswa kuwa na mtoto kweli? Unahakika unastahili kuwa baba?Mia tatu mara elfu kumi sh.ngapi?nyie mbona serikali ikiongeza tozo ya mia tu kwenye mafuta mnatikisa makalio yenu kutukana humu?
Mbona hiyo ni pesa ndogo tu? Acha wivu.Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani
Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400
Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Uamuzi Ni Wake Sasa...3600×300×7=7,560,000/=
Siyo mbaya.
Wala mkuu syo swala la kuwa na pesa niubishi wa kijinga anaona bora mwanae abebe dum la maj na fagio kilasiku kuliko kutoa300 sasa maji lita tano kwa mwezi ni shngap kama atanunu ndoo kwa sh 100 inamana nizad ya ndoo 6 sasa mtuu anaona bora mwanae ateseke kusafisha choo nakubeba maj na fagio kila siku ilimrad apate buku ya kisungura.Pole sana maskini
Tafuta hela ndugu kuongea 300/ kwa mwezi mbele ya jamii inaonesha hata kuzaa hukutakiwa hauko stable kiuchumi
Nyie ndio ng'ombe wakubwa... Acheni kuwaibia wazazi wa kimasikini kenge nyie.....Unalalamika kumlipia mtoto shilingi 300 kwa mwezi una uhakika ulipaswa kuwa na mtoto kweli? Unahakika unastahili kuwa baba?
Acha kujificha kwenye kichaka cha 300 mara elfu 10 ng'ombe wewe, Kwani hizo zote unalipa wewe na kwanza shule gani ina wanafunzi elfu 10?
Jitafakari kama ulifaa kutungisha mimba ni bora ungepiga nyeto
Walimu njaa kali how about mleta madaWalimu wana njaa Kali sana inayosababisha kuwa wabunifu/wezi.Thieves in a day-broad light.Lipa tu mkuu.Wana madeni hadi ya unga wa ugali maduka ya mitaani na madeni ya vicoba mchanganyiko.
NB;Tuwasitiri.Hawana hata mishahara baada ya kuwekeza ATM cards zao kwenye mikopo umiza.Na,familia zinawategemea.
Maskini wanagombana wenyewe kwa wenyeweNyie ndio ng'ombe wakubwa... Acheni kuwaibia wazazi wa kimasikini kenge nyie.....
300/= kwa mwezi ni sawa na sh 3,600/= kwa mwaka. Kwa kuwa watoto hawaendi shuleni miezi, yote, uwezekano ni kuwa utalipa si chini ya sh 2,400 na si zaidi ya sh 3,000/=.Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani
Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400
Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Kero za walimu ni zaidi ya hiyo mia tatu...michango ya kipuuzi kwa wazazi imekuwa kero sana,inawagombanisha wazazi na serikali yao kwa tamaa zao..na humu asilimia kubwa mmejazana nyie walimu lazima mshindinane kumtukana mleta mada.Hujui kusoma ama hujui kuelewa?? Kama ulikimbia shule usisumbue huku!
Mia tatu mtu mzima unahoji mtandaoni? HUO NI UPUMBAFU!!
Haya matusi ungekuwa unawatukana viongozi wa serikali wanavyoiba hela zako ungeonekana wa maana ila kwa sasa kipiga kelele kwa sababu ya 300 wewe ndiyo nguruweNyie ndio ng'ombe wakubwa... Acheni kuwaibia wazazi wa kimasikini kenge nyie.....
Ni bahili hataki kutoa mahela kizembezembe tu.Walimu njaa kali how about mleta mada
Alau ingekuwa hata kwa siku!Sasa kutoa Tsh. 300 kwa mwezi kwa ajili ya usafi imekuwa nongwa. Umasikini ni mbaya, naomba Mungu aniepushie mbali na roho za umasikini.
Wee lipa hela ya usafi mzee, lipa sh 300 /= tu kwa mwezi. Mengine tuachie wenyewe... Sawa??Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani
Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400
Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya