Shuleni kwa mwanangu wanatozwa Tsh. 300 ya usafi kwa mwezi, kwa shule nzima ni pesa nyingi

Shuleni kwa mwanangu wanatozwa Tsh. 300 ya usafi kwa mwezi, kwa shule nzima ni pesa nyingi

Twende Kimahesabu, Mwanafunzi mmoja ana toa Tsh 300, tuseme kila darasa lina wanafunzi 400... sasa ukichukua 300 x 400 = 120,000Tsh... hiyo ni kwa darasa zima, sasa kama Darasa moja linachangia 120,000 kwa mwezi, je madarasa 7 si yatachangia 840,000 ambayo ni pesa ya jumla inayochangwa na wanafunzi wa shule nzima.. kama wanalipa wafanya usafi na kununua vifaa uenda ikawa inatosha kabisa....

Cha msingi hudhuria vikao au kama hukuwepo ni vyema ungefika shule na kuuliza pesa inatumikaje.... wazazi wenzako uenda walihudhuria kikao na kukubaliana hiyo gharama...

Ukute huko mtaani unaonga mademu ila kuchangia maendeleo ya shule shilingi 300 unaona ni mzigo
Pia hawatoi wote, make kuna wazazi hali zao ni mbaya kuzidi ya mtoa mada 😂😂😂
 
Ungemuuliza ni mchango wa usafi upi hapo shuleni iwapo kufagia,kudeki na kufyeka nyasi hufanywa na wanafunzi.
NB;Usiangalie kiwango anachotoa mtoto mmoja.Nenda mbele zaidi na ujiulize kama hatuulei wizi wa walimu?
Walimu wanawaibia wazazi masikini wa Tanzania . Bora serikali iweke Ada shule za msingi na secondary
 
Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani

Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400

Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya

Kaa na mtoto wako home. Kama kutoa tsh 300 ya usafi unashindwa maana yake hukuwa tayari kusomesha. Mrudishe mtoto nyumbani. Nyie wazazi hata kwenye vikao huwa hamwendi.
 
Mtoto kakuambia unaleta huku Acha ujinga we mzazi!!
Taarifa huletwa kwa barua rasmi laa nenda shule kaulize taaluma yake nahayo mengine au hujali elimu ya watoto wako? Mtoto anafaulugi?
Jifunze malezi Bora kijana jali watoto wako na elimu yao hatuwezi kujadili shilingi miatatu humu Kwa uvivu wako wakufatilia wanao...huo ni ujinga mtupu!!!
Acha kazi kama mshahara hautoshi sio kusubiria wazazi masikini wawatajirishe,aliyekuambia mia tatu ndogo nani?
 
Subiria matusi toka kwa matahila ya humu, maana humu haitakiwi huwakosoe walimu hata kama wanakula vya haramu wale tu,walamu wana tamaa sana sana,ni bora serikali irudishe ada tu kama zamani kuliko kuwatajirisha hao mafisadi.
TSH 300 ni ya kujadiliwa kwa kukaza shingo hivyo? Akili za kimaskini sana, tafuta hela
 
Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani

Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400

Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Wazazi tutafute Hela .maneno matatu tu
 
Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani

Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400

Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Kama huwezi aende na ufagio na kidumu
 
Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani

Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400

Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Pole sana maskini
Tafuta hela ndugu kuongea 300/ kwa mwezi mbele ya jamii inaonesha hata kuzaa hukutakiwa hauko stable kiuchumi
 
Pole sana mkuu, mia tatu sio pesa ndogo!
Acha ushamba natamani niwanase vibao wazazi mabwege hivi. Bora angetuambia haijaleta mabadiliko...
Kunashule vyoo nimafinyofinyo na mimavi inatapakaa vyooni, kunaambazo hazina maji/sim tank watoto wanachambia mawe na majani,Kuna ambazo wanapikia jiko lamawe,jikoni mavumbi/tope tupu,hawanawi mikono hata ukitoka kunya!!
Acheni ujinga na upuuzi uliopitiliza
300×12×7 Kwa miaka saba ni 25,000/-
Mnataka wazungu ndiyo wake kuwafundisha kunawa mikono mkitoka kunya??
Woote wanaopinga ni ma Stupid na umasikini hautoisha Kwa kulilia miatatu...
 
Ila maisha nimagum kiasi hcho kweli watz au niajee 300/: kwa mwezi? Nikushauri mzaz kkwa nia njema kama unarithka na hyo huduma mwanao anayopata au nipesa ndo chhangamoto? Au usimpe pesa mwanao wambe walim wamkabithi zam yakufagia nakuchota maj yakusafisha choo na yakusafishia matako pindi aendapo haja* lingine japo syo kwa umuhim ulisha huzuria vkao vya wazazii
 
Back
Top Bottom