Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Serikali irudishe Ada kwa shule zote,sio wazazi masikini kuwatajirisha watu wachache,300/= kwa mwezi ni sawa na sh 3,600/= kwa mwaka. Kwa kuwa watoto hawaendi shuleni miezi, yote, uwezekano ni kuwa utalipa si chini ya sh 2,400 na si zaidi ya sh 3,000/=.
Sh 3,000 kwa mwaka itakusumbus kulipa mkuu?
Hata kama linabaki Salio kubwa, kuna shida walimu nao wakilitumia kuboresha alau chai yao?
Kwani mkuu wewe hutoagi SADAKA?
Wewe hutoagi "tipu"?
Waache waalimu nao wainjoy alau kidogo. Kazi wanayoifanya ni ya muhimu sana lakini malipo ni madogo mno.
Wewe mpatie mtoto hela ya usafi, ikibidi, uwe unampa sh 10,000/= badala ya 300/=.
Na ukishalipa usisumbuke kifuatilia ilivyotumika.
Chukulia kwamba umetoa zawadi!
Waamini walimu wa mtoto wako ili nao "wamjenge" vema!
Mara sijui elfu tano ya walimu wakujitolea,unakuta hao walimu wakujitolea shule nzima wapo wanne .form 4 karibia madarasa la wanafunzi mia nne wote inatakiwa watoe elfu tano tano,
Uliza sasa hao walimu wakujitolea wanalipwa sh. Ngapi