Hapana mkuu nimetoa miezi ya likizoUmekosea hesabu mkuu, 300×12 ni 3600. Ingekua elf 30 huyu mzazi angefaint 😂
Hapana mkuu nimetoa miezi ya likizoUmekosea hesabu mkuu, 300×12 ni 3600. Ingekua elf 30 huyu mzazi angefaint 😂
Ndug yang hata kulipia mia tatu shulen ambK mtoto wako anapatiwa elim bado unaijadili, mia tatu ? Duh,Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani
Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400
Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Umeandika elf 30, haifiki kote huko......kwa mwaka ni elf 3 na 600Hapana mkuu nimetoa miezi ya likizo
Bora useme wewe kuna mtoto wa ndugu yangu kila wanalipa hela ya mlinzi 1500,hela ya mtihani 1000 ukumbuke mitihani inafanyika mara nne kila mwaka na kuna michango mingine midogo midogo imagine shule ya serikal labda ina wanafunzi mia saba au zaidi ni wizi mtupu wanafanya na ma afisa elimu wapo tuMtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani
Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400
Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Ishu sio kulipa hiyo pesa ukifatilia hiyo pesa haiendi kufanya kazi inayostahil.Hata hivo kila kamba itakula kwa urefu wa mbuzi wakeTatizo ni ungwini unawasumbua
350×300=105,000 ((darasa moja) imagine kuna madarasa 7)
105,000×7=735,000 kwa shule nzima hata million haifiki unapiga kelele kama akina Erythrocyte
Hapo tatizo liko wapi mkuuKipindi niko sec nilishutuka kusikia tetesi za walimu mwamlimu flani mshahara wake anapokea 200k kwa sabab ya mikopo asee
Hesabu yako h haipo sawa.Tatizo ni ungwini unawasumbua
350×300=105,000 ((darasa moja) imagine kuna madarasa 7)
105,000×7=735,000 kwa shule nzima hata million haifiki unapiga kelele kama akina Erythrocyte
Anasema ni shs 300 kwa mwanafunzi mmoja na wapo wanafunzi 350 katika darasa. Wewe umemuweka maneno mdomoni. Wapi shule ina darasa moja wanafunzi 350 na hivyo shule nzima kuwa na watoto 2,450. Kwa mantiki hiyo ina wastani wa walimu 82? Na kama darasa moja lina wanafunzi 350, hivyo ni mikondo saba kwa kila darasa kuwa na wastani wa watoto 50 ingawa standard ni watoto 45. Hivyo hiyo shule ina vyumba vya madasa 50 kutosha watoto wote. Sijaona shule ya msingi ya serikali kama hiyo hapa Tanzania.Hesabu yako h haipo sawa.
Hy 735k ni ya mkondo mmoja labla darasa la saba tuu, hapo hujasemea darasa la kwanza mpaka sita.
Kwahy hapo ni 735k × 7= 5.1M kwa mwezi mmoja.
Sasa 5.1M × miezi 12 = 61M
Yani pesa ya usafi kwa mwaka ni milioni 61.
Wewe unaona ni sawa hii, tumia akili mkuu.
Sawa.Anasema ni shs 300 kwa mwanafunzi mmoja na wapo wanafunzi 350 katika darasa. Wewe umemuweka maneno mdomoni. Wapi shule ina darasa moja wanafunzi 350 na hivyo shule nzima kuwa na watoto 2,450. Kwa mantiki hiyo ina wastani wa walimu 82? Na kama darasa moja lina wanafunzi 350, hivyo ni mikondo saba kwa kila darasa kuwa na wastani wa watoto 50 ingawa standard ni watoto 45. Hivyo hiyo shule ina vyumba vya madasa 50 kutosha watoto wote. Sijaona shule ya msingi ya serikali kama hiyo hapa Tanzania.
Hivi upo katika hii industry au ni ubishi wa JF tu.
Wanafanya Usafi mara moja kwa mwezi?Sawa.
Kwa mwezi shule nzima inapata 735k.
Kwa mwaka (miezi kumi) shule inapata 7. 3m
Kwahy hii pesa yote inaenda kwenye usafi tuu.