Uchoko wa wa tz unamizizi mikali Sana walahi nawaambia.
Yan hakuna mia inatozwa na shule bila kikao Cha wazazi, Ila mzazi haend kwenye vikao anakuja kulalama JF.
Hakuna mia inashikwa na mwalim Bali ni kamati teule ampo ndani yake huwa na walim kadhaa ambao hupokea hela kwa niaba na Kisha mtunza hazina huwa ni mzazi moja wapo alochaguliaa kwenye vikao vya wazazi... Ila mzazi yupo JF analalamika as hamjui mwenyekiti, mtunza hazina Wala Katibu wa kamati ya wazazi anaposoma mwanae.
Yan mtu unakuta ni mtu mzima na sometimez ni msomi Ila hajui hata muundo wa uongozi wa shule ambapo kimsingi shule husimamiwa na kamati ya wazazi ambao ndiyo huamua Mambo yote hayo.
TZ NCHI NGUMU SANA WAZEE. na bado mtu ana vocha za kuingilia social media kuchek pisi nikirusha rushwa makalio Ila kutoa 400 ya usafi shuleni kwa mwanae per month inamuuma. Hela ambayo imeamliwa na wazazi wenyewe na si walim.
400 imnunulie sabuni, inunue madekio ndoo na Kila kifaa,
400 ilipie bill ya maji
400 imlipe dada wa kudeki nadarasa na vyoo.
400 ioshe vyombo anavyonywea uji na vinavyopikwa
400 ifyeke uwanja wa michezo anapo cheza.
400 itumike kununua ndoo za kunawia vyooni.
Yaan mtu yupo radhi KUHONGA pisi 100,000 kwa mwezi Ila kutumia laki kuboresha mazingira ya watoto wake kusoma kwa 5000 inamuuma Sana...
Kwa kogezo kuwa kwa pisi anapewa mbunye Ila kwa mtoto ake hapewi mbunye.
Ikiwa michango inakuudhi nenda kwenye vikao vya wazazi kashauriane na wazazi kuwa wewe hutaki kutoa michango, manake hakuna mwalim mwenye mamlaka ya kutoza na huwa walim hawatozi chochote bali kwa maagizo ya vikao.
Swala la serikali kushindwa kuhudumua shule at 100 percent ni swala linatokana na umaskini wa jumla wa kifikra ambao unachangiwa na wewe mzazi ambae upo radhi uipe pisi 10,000 ya kusikia Ila Sio umnunulie MWANAO kitab Cha 3,500
Wazazi wa tajiriba yako wanaobudu mbunye ndo hugombe uongozi na ndo hivyo akili zimekaa matope badala ya kuwa wabunifu kika Mambo ya msingi.
stabilityman acha kuabudu ujinga Lea wanao.