Shuleni kwa mwanangu wanatozwa Tsh. 300 ya usafi kwa mwezi, kwa shule nzima ni pesa nyingi

Shuleni kwa mwanangu wanatozwa Tsh. 300 ya usafi kwa mwezi, kwa shule nzima ni pesa nyingi

300 Si kitu ndugu toa mtoto asaidiwe kufanya usafi, Si vyema afike asubuhi aanze kuhangaika na vumbi/tope kisa 300!!
 
1-350 wamegawanywa katika madarasa mangapi ie A,B,C,D,E....
2-Kuna wao Tsh.300 na ninyi "wengine" laki mbili.Huoni tofauti hata kwenye kuandika?
Muelezaji hajafafanua kuwa mkondo mmoja una wanafunzi 350 bali kasema darasa la mwanae wako 350 mbona kiswahili rahisi sana katumia kwa nini wewe uhisi kwenye huo mgawanyo wa ABCDE?
 
Wewe unaangalia idadi yao wote au hela ya mtoto wako anayotakiwa kutoa? Yaani sh. 300/= kwa mwezi ndio ya kuanzishia uzi? Wanapokuwa wengi si na eneo na mahitaji ya usafi yanavyoongezeka?
400+500= 900×300=270,000 sidhani kama wanafunzi wote huwa wanatoa.
Mtoto wake akiumwa atagharimika zaidi ya hii hela (300) hata akitoaa mwaka mzima 3600 kwaa mwaka bado anadai ni kubwa.

Tuna mengi ya kujifunza
 
Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani

Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400

Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya

Kiongozi
naomba nikukumbushe tu kuwa, wingi wa wanafunzi na uchafu wake ni mwingi hivyo hivyo. Wanafunzi wakiwa wachache na uchafu wake ni kidogo

Mimi nilisoma shule ya wanafunzi wengi; tuliteseka sana msimu kama huu wa mvua (February hadi june) tulikuwa tunadeki mara mbili kwa siku, bado kufweka (yaani tunabeba ndoo, slesha, fagio nk) hata muda wa kusoma unapungua.
Shule inachafuka; madarasa na mabweni yanachafuka kama mazizi. Kitendo cha shule kushirikisha wazazi ili wanafunzi wapate muda wa kusoma vizuri, naona ni ubunifu mzuri sana.
Kama mnaweza kulipa, nashauri mlipe tu hiyo shs 300 kwa mwezi.
Hata hivyo hiyo michango huwa inapitishwa na vikao vya wazazi au basi kamati ya wazazi kwa hiyo wazazi wameridhia.
 
Mia tatu ya usafi wa mwanao inataka ikutoe roho?
Mkeo anatumia sh ngapi kwa siku hapo nyumbani?
Ungenyamaza tu mkuu, hii ni aibu kwako na kwa mke wako.
300 kwa mwezi ni sawa na sh 10 kwa siku, 3600 kwa mwaka sawa na bei ya kondom tatu.
 
Nchi nzima ndio mshahara wao, hata yule anayelipwa 2mln, wakikata mikopo yote anaibuka na 300,000
Lakini mikopo si inakuwa imefanya jambo la muhimu? Mfano, ukikopa 30M kwa ajili ya ujenzi, hata kama unakatwa na inabaki 200k, hapo huoni imebaki hiyo kwa kuwa unaenjoy na familia yako kwennye nyumba yenu?
 
Wewe unaangalia idadi yao wote au hela ya mtoto wako anayotakiwa kutoa? Yaani sh. 300/= kwa mwezi ndio ya kuanzishia uzi? Wanapokuwa wengi si na eneo na mahitaji ya usafi yanavyoongezeka?
Mkuu ulitaka mwanao atoke nyumbabi na ufagio wa chelewa na kidumu cha maji mambo yanabadilika...
 
Mbwa shoga wewe . Kiongozi gani wa serikali anaiba pesa zako? Hayo maendeleo nchi nzima uyaoni mthenge wewe,ndiomaana mnatekwa na vikosi kazi sababu hamna akili
Unatumia nguvu kujaribu kumonesha kitu kisichokuwepo, hakuna hayo maendeeo unayojaribu kumuonesha ndio maana unaishia kutukana.
 
Muelezaji hajafafanua kuwa mkondo mmoja una wanafunzi 350 bali kasema darasa la mwanae wako 350 mbona kiswahili rahisi sana katumia kwa nini wewe uhisi kwenye huo mgawanyo wa ABCDE?
Wewe ndiye umeamua iwe hivyo.Ulimdadisi wanakaaje darasani?
 
Dogo njoo ukae na mwanao home kwangu NITAWALIPIA HUO MCHANGO MWAKA MZIMA. Tsh 300 kwa mwezi unaanzisha uzi? Ingekiwa 3,000. Si ndo ungetembea uchi kabisa ukitaka uolewe tu
Muolewe wote? 😳😳
Kwahiyo huna wivu na mumeo mpk unamgawa? 🤣😹😹
 
Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani

Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400

Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Kazi kweli kweli...

Hiyo umeona nyingi sana, kapitie ripoti ya CAG alafu urejee hapa
 
Back
Top Bottom