Shuleni kwa mwanangu wanatozwa Tsh. 300 ya usafi kwa mwezi, kwa shule nzima ni pesa nyingi

Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani

Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400

Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
jipige kifuani useme roho ya kimaskini itoke....kweli hiyo ni pesa ya kuanzisha uzi...inatakiwa waongeze mpaka iwe 1000....tatizo ni kama usafi haufanyiki....
 
Walimu wana njaa Kali sana inayosababisha kuwa wabunifu/wezi.Thieves in a "day-broad light"/broad-day light Lipa tu mkuu.Wana madeni hadi ya unga wa ugali maduka ya mitaani na madeni ya vicoba mchanganyiko.
NB;Tuwasitiri.Hawana hata mishahara baada ya kuwekeza ATM cards zao kwenye mikopo umiza.Na,familia zinawategemea.
Ukitoa viongozi wa ngazi za juu na wafanya biashara wakubwa watanzania wote tuna njaa na ni maskini , sema nyuma ya keyboard tuna ushujaa wa ajabu sana.
 
Una uhakika gani au umejiridhisha vipi kuhusu mimi, viongozi wa juu na wafanyabiashara?
 
Sijaongelea issue binafsi kwako tu ,hivyo inawezekana ukawa vizuri na ukweli wako unaujua mwenyewe ila nilichoongea ndio fact
 
twende mbele turudi nyuma sisi wazazi ndo chanzo cha haya yote wazazi wa siku hizi hatutaki watoto wetu waguse chochote ,sasa ulitarajia waalimu wao ndo wafanye usafi , kipind tunasoma sisi ilikuwa kila mtu anaeneo lake lakn siku hizi watoto hawaskii wala kuambiwa na sisi wazazi ndo kwanza tunawakingia kifua utaskia me mtoto wangu akiguswa namuua mwalimu ,
 
Muolewe wote? 😳😳
Kwahiyo huna wivu na mumeo mpk unamgawa? 🤣😹😹
Nataka uwe unafuatilia kila posts au comments zangu. Nlikuambia mi na kuweka wazi kisha nakuacha unatoa povu tu kila ukiniona unajisikia kizunguzungu. Ili uache tabia ya kupenda kuwa mwanamke.
 
Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani

Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400

Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Kama hazina wanajichotea watakavyo wakijichotea walimu wa mwanao kuna shida gani? Je, umeenda shuleni ukakuta uchafu?
 
Sasa kutoa Tsh. 300 kwa mwezi kwa ajili ya usafi imekuwa nongwa. Umasikini ni mbaya, naomba Mungu aniepushie mbali na roho za umasikini.
Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani

Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400

Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Mbona kidogo? Mlitakiwa kuchangia 3,000
 
Tukubaliane kitu kimoja.
Kama tuaacha walimu wale kwa urefu wa kamba zao kwa hizo 100/200/300, kesho basi tusilalamike tunapokuwa na viongozi mafisadi wanaokula kwa urefu wa kamba zao kwa milioni 200 - mpaka mabilioni, maana hawa walimu wa 300 lep, ndio viongozi wa kesho wa kupiga mabilioni (ukizingatia viongozi wengi wanatokea kwenye kada ya ualimu kwa kuwa wao ndio wengi zaidi).

Kuna mwalimu mmoja alikuwa ni afisa elimu mkoa fulani, alipiga sana deal za uhamisho na ualimu mkuu, leo hii ni DAS, ni balaa sana kwa jinsi anavyokula kuzidi urefu wa kamba yake.

Serikali itoe muongozo (tuachane na uongo wa elimu bure/bila malipo) ili kuwe na uwazi kwenye michango ambapo kutapelekea walimu kutooneka kuwa wanafaidika na michango hiyo.
Kweli kabisa!
 
Walim wana dhiki sawa lakin wazazi wengi ni Mataahira kama wewe.
Yani mwalim kaja na mbinu ya kumpumzisha mwanaonna vumbi la shule wewe mia 3 tu kwa mwez unalalamika kwani una watoto 1000 kwamba unaona laki3 kwa mwezi ni kubwa?
 
Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani

Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400

Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Nchi maskin sana hii mia 300 nayo ni ela ya kuulza ? Waaache walimu wapate pesa ya kununua nyanya za kupikia mchicha walio chuma
 
Nataka uwe unafuatilia kila posts au comments zangu. Nlikuambia mi na kuweka wazi kisha nakuacha unatoa povu tu kila ukiniona unajisikia kizunguzungu. Ili uache tabia ya kupenda kuwa mwanamke.
Kwa post gani ulizonazo? We si ndo unawashwa mkd muda wote kunitaja taja km nimekubebea mumeo pumbavu wewe…!!

Na kwa taarifa yako kila nitakapoona umenitaja nakuwashia moto mimi sio basha useme ntakuomba ki pumpkin chako ***** wewe…!!
 
Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani

Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400

Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Srikale wanapiga pesa mingi zaidi. - no reforms
 
Back
Top Bottom