Shuleni kwa mwanangu wanatozwa Tsh. 300 ya usafi kwa mwezi, kwa shule nzima ni pesa nyingi

Subiria matusi toka kwa matahila ya humu, maana humu haitakiwi huwakosoe walimu hata kama wanakula vya haramu wale tu,walamu wana tamaa sana sana,ni bora serikali irudishe ada tu kama zamani kuliko kuwatajirisha hao mafisadi.
Oneni kenge hizi..! badala mkemee mafisadi wanaokwapua keki ya taifa na kujilimbikizia mabilioni Kwa mabilioni na kushindwa kuboresha mazingira ya elimu Kwa watoto wenu, mmekaa kuwazodoa walimu wanaohangaika kuwaondoa wanenu ujinga ktk mazingira magumu! Makapuku wakubwa nyie, toeni mia 300 hizo haraka sana kama hamna uwezo wapelekeni private schools, eboh!
 
Kwanza kama mzazi unatakiwa ujitafakari, watoto 350 darasa moja je uelewa kwa hao wanafunzi utakuwaje?

Kiukweli hapo hakuna nafasi ya mwalimu kuhakikisha kila mwanafunzi kamuelewa sawa sawa, hiyo shule haifai mkuu

Kingine acha kujiuliza mara mbili mbili juu ya shilingi mia tatu, sisi wengine tunaambiwa tulipe registration fee laki mbili huku ungeweza kweli??
1-350 wamegawanywa katika madarasa mangapi ie A,B,C,D,E....
2-Kuna wao Tsh.300 na ninyi "wengine" laki mbili.Huoni tofauti hata kwenye kuandika?
 
Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani

Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400

Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Leta

Kama shule ina wanafunzi wengi hata kiwango cha uchafuzi wa mazingira ni kikubwa,hivyo kwenye hiyo Mia tatu kuna mgawanyo wa matumizi ambayo wazazi waliohudhuria vikao wakapitisha hilo waliona inafaa. Labda kabla hatujatoa hukumu kwenye vikao mlikibalianaje mpaka mkapokea hilo azimia la kuchangia Mia 3?
 
Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani

Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400

Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Kwa kazi wanayoifanya waalimu kwa mtoto wako, hata kama hio hela ya deal inaingia mifukoni mwao, bado hakuna haja ya kuja hapa kuwaanika. Najua hujaandika kulalamika bali umeandikia ili kuweka mambo wazi, hakuna haja hio mkuu, we lipa tu kisha piga kimya, wanafanya kazi kubwa sana kwa mtoto wako kulinganisha na maslahi yao.
 
Sawa sawa
 
Kwahiyo sh 300 ndiyo inayokuuma, kwa mwezi. Kwa mwaka sh 30,000 ukitoa likizo. Waambie uwe umasafisha ww
 
Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani

Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400

Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
300 kwa mwezi mbona ni ndogo sana au sijaelewa
 
Tukubaliane kitu kimoja.
Kama tuaacha walimu wale kwa urefu wa kamba zao kwa hizo 100/200/300, kesho basi tusilalamike tunapokuwa na viongozi mafisadi wanaokula kwa urefu wa kamba zao kwa milioni 200 - mpaka mabilioni, maana hawa walimu wa 300 lep, ndio viongozi wa kesho wa kupiga mabilioni (ukizingatia viongozi wengi wanatokea kwenye kada ya ualimu kwa kuwa wao ndio wengi zaidi).

Kuna mwalimu mmoja alikuwa ni afisa elimu mkoa fulani, alipiga sana deal za uhamisho na ualimu mkuu, leo hii ni DAS, ni balaa sana kwa jinsi anavyokula kuzidi urefu wa kamba yake.

Serikali itoe muongozo (tuachane na uongo wa elimu bure/bila malipo) ili kuwe na uwazi kwenye michango ambapo kutapelekea walimu kutooneka kuwa wanafaidika na michango hiyo.
 
Kwanza kama mzazi unatakiwa ujitafakari, watoto 350 darasa moja je uelewa kwa hao wanafunzi utakuwaje?

Kiukweli hapo hakuna nafasi ya mwalimu kuhakikisha kila mwanafunzi kamuelewa sawa sawa, hiyo shule haifai mkuu

Kingine acha kujiuliza mara mbili mbili juu ya shilingi mia tatu, sisi wengine tunaambiwa tulipe registration fee laki mbili huku ungeweza kweli??
Kwa hiyo unataka ampeleke kwenye shule ya laki tatu kwa mwezi?

Kama elfu tatu kwa mwezi imekuwa nongwa, laki tatu kwa mwezi si itakuwa balaa kabisa?
 
CAG alisema pana makusanyo ya Bilion kadhaa zilikusanywa na Ilala hazikufika bank huku ndio pana ujambazi sio 300 ya mwezi bhana..
 
Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani

Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400

Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Wacha wale kwa urefu wa kamba yao!
 
Back
Top Bottom