Shuleni kwa mwanangu wanatozwa Tsh. 300 ya usafi kwa mwezi, kwa shule nzima ni pesa nyingi

Shuleni kwa mwanangu wanatozwa Tsh. 300 ya usafi kwa mwezi, kwa shule nzima ni pesa nyingi

Mbwa shoga wewe . Kiongozi gani wa serikali anaiba pesa zako? Hayo maendeleo nchi nzima uyaoni mthenge wewe,ndiomaana mnatekwa na vikosi kazi sababu hamna akili
Kwa comment hii umejionesha kariba na haiba zako. Itoshe kusema kujibizana na wewe ni ujinga tu.

Endelea kuzaa alafu lalamikia mchango wa mia 3 kwa mwanao ili asome darasa safi na uwanja safi wa shule

Ukijibu hii comment yangu nimekutukana tusi la nguoni sasa chaguo ni lako kujibu au kuacha
 
Kero za walimu ni zaidi ya hiyo mia tatu...michango ya kipuuzi kwa wazazi imekuwa kero sana,inawagombanisha wazazi na serikali yao kwa tamaa zao..na humu asilimia kubwa mmejazana nyie walimu lazima mshindinane kumtukana mleta mada.
Usikute we ni polisi
 
300*500= 150,000 kwa darasa moja let US say total students at school wako 1400 , jumla ni 150k *1.4k=2.1M per month, kwa mwaka ni 25.2M
Anaweza akatumia 5M kulipa wafanya usafi kwa mwaka akabakia na 20M. Kwa miaka 20 anazo like 400M, akija kustaafu anakimbiza bilioni
 
Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani

Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400

Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Mzazi unalalamikia 300 ya usafi kwa mwezi? Mia tatu?
 
Sasa kutoa Tsh. 300 kwa mwezi kwa ajili ya usafi imekuwa nongwa. Umasikini ni mbaya, naomba Mungu aniepushie mbali na roho za umasikini.
Yeye haiwazii 300 anawaza kua walimu wananufaika na watatajirika kwa sh 300 bila hata kujua mchanganuo wa huo usafi.

Ingeleta maana kama anatoa 300 na usafi haufanyiki, mtoto badala ya kusoma anafanya usafi ilhali hela imelipwa na matatizo kama hayo.

Ama lah angehusianisha mapato na matumizi.

Huu ni wivu usio na kichwa wala miguu kwa ndgu zetu walimu.
 
300*500= 150,000 kwa darasa moja let US say total students at school wako 1400 , jumla ni 150k *1.4k=2.1M per month, kwa mwaka ni 25.2M
Anaweza akatumia 5M kulipa wafanya usafi kwa mwaka akabakia na 20M. Kwa miaka 20 anazo like 400M, akija kustaafu anakimbiza bilioni
Hizi hesabu zako ni za kwenye makaratasi
 
Kuna shule nimepita leo nimeshangaa kila siku nikipita nakuta magol ya chuma ,leo nimepita nakuta ya miti kuuliza yako wapi naambiwa wamewauzia timu ya mtaani hayo magol chuma mpk ya mpira wa kikapu wameuza
 
Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani

Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400

Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Watu wanalipa 10M , 20M, 16M kama ada!
Tutafute pesa kwakweli
 
300*500= 150,000 kwa darasa moja let US say total students at school wako 1400 , jumla ni 150k *1.4k=2.1M per month, kwa mwaka ni 25.2M
Anaweza akatumia 5M kulipa wafanya usafi kwa mwaka akabakia na 20M. Kwa miaka 20 anazo like 400M, akija kustaafu anakimbiza bilioni
Motivesheni spika
 
Usafi upi?Wanafunzi hufagia, kufyeka na hata kupiga deki madarasa,ofisi,vyoo na hata Kumbi.Wanamlipa nani kwa kufanya usafi upi?
Mimi mwanangu akiniambia walimu wanataka wachangiwe Tsh 10,000/= kwa mwezi kwa ajili ya chai, nitatoa bila kinyongo. Walimu wanafanya kazi ya maana sana. Ni nzito na nyeti kuliko hata ya ubunge lakini malipo yao ni duni sana.
 
Back
Top Bottom