GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
📌🔨Mbona 300 ndogo sana. Angalau 1,000!
📌🔨Mbona 300 ndogo sana. Angalau 1,000!
Cha ajabu hapo ukiweka vocha ya 5000 ukakatwa 100 utaanza kusumbua customer care kama sio kulalamikaSasa kutoa Tsh. 300 kwa mwezi kwa ajili ya usafi imekuwa nongwa. Umasikini ni mbaya, naomba Mungu aniepushie mbali na roho za umasikini.
Kwa post gani ulizonazo? We si ndo unawashwa mkd muda wote kunitaja taja km nimekubebea mumeo pumbavu wewe…!!
Na kwa taarifa yako kila nitakapoona umenitaja nakuwashia moto mimi sio basha useme ntakuomba ki pumpkin chako ***** wewe…!!
Tsh. 300 ili kumpumzisha mwanao asile vumbi ni jambo la uovu kweli!? Think againCha ajabu hapo ukiweka vocha ya 5000 ukakatwa 100 utaanza kusumbua customer care kama sio kulalamika
Usafi wa Nini ? Nina uhakika hiyo ni shule ya serikali na huko usafi wa Kila kitu ni wanafunzi ndio wanafanya huoni kama Kuna nia ovu hapo?
Ubora wa hizo barabara unazosema zinaakisi rasilimali tulizo nazo Na zile zilizotumika?Hizo
BaraBara unazopita sio maendeleo
Ninavyowapemda walimu, hata mtoto akiniambia walimu wameomba wachangiwe Tsh 5,000/= kila wiki kwa ajili ya vitafunwa, nikithibitisha ni kweli, natoa bila kinyongo, sembuse 300/= kwa mwezi! Watanzania tuacheni uchoyo.Tsh. 300 ili kumpumzisha mwanao asile vumbi ni jambo la uovu kweli!? Think again
wewe ndio tahira wa 1, kama elimu ya mwanao unaona gharama mrudishe nyumbani mfundishe peke ako,Subiria matusi toka kwa matahila ya humu, maana humu haitakiwi huwakosoe walimu hata kama wanakula vya haramu wale tu,walamu wana tamaa sana sana,ni bora serikali irudishe ada tu kama zamani kuliko kuwatajirisha hao mafisadi.
Kwamba wazazi wengine waliokubali kulipitisha hilo hawakuling'amua hilo?Cha ajabu hapo ukiweka vocha ya 5000 ukakatwa 100 utaanza kusumbua customer care kama sio kulalamika
Usafi wa Nini ? Nina uhakika hiyo ni shule ya serikali na huko usafi wa Kila kitu ni wanafunzi ndio wanafanya huoni kama Kuna nia ovu hapo?
Na kukufundisha koote hata kuandika bado taabu ila ushaanza kututukana kweli!!Subiria matusi toka kwa matahila ya humu, maana humu haitakiwi huwakosoe walimu hata kama wanakula vya haramu wale tu,walamu wana tamaa sana sana,ni bora serikali irudishe ada tu kama zamani kuliko kuwatajirisha hao mafisadi.
Ndugu mzazi, unachotakiwa kuzingatia ni mia tatu yako tu sio kuanza kutuhesabia na za wenzio. Kamiatatu sio hata kakumnyima mwalimu.Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani
Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400
Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Sasa Kuna shida gani ukitoa hiyo 300 mtoto wako akisoma katika mazingira masafi na akienda kujisaidia katika choo kisafiMtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani
Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400
Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Walimu wana njaa Kali sana inayosababisha kuwa wabunifu/wezi.Thieves in a "day-broad light"/broad-day light Lipa tu mkuu.Wana madeni hadi ya unga wa ugali maduka ya mitaani na madeni ya vicoba mchanganyiko.
NB;Tuwasitiri.Hawana hata mishahara baada ya kuwekeza ATM cards zao kwenye mikopo umiza.Na,familia zinawategemea.
Alipe tu ya mwaka mzima 3600 amalize deniYaani mia tatu nayo ya kutufungulia uzi jamani!! Wazazi mbona sio wazalendo🤣🤣🤣
Si ndio!! Hata hatutasumbuana nae🤣🤣Alipe tu ya mwaka mzima 3600 amalize deni
Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani
Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400
Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Ndio maana ya mgawanyo. Hiyo pesa ni kidogo sana mzazi kuilalamikia. Hoja ilitakiwa kuwa Je! Usafi ni kweli unafanyika na waajiriwa au watoto?Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani
Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba wapo 400
Yaani ukipiga hesabu hela wanayopata kwa usafi ni kubwa aiseeeeeeeee sijajua kama afisa elimu anajua haya
Hahaha yaani hii wote private na government vitoto havishibi.Kila siku 1000 ya wali katoto kanarudi na njaaa balaa