The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Wale wawili nimeshawaacha. Uko peke ako
Lete namba ya Mpesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wawili nimeshawaacha. Uko peke ako
Mwenyewe simuelewi anataka kote kote.Hivi mbona hueleweki jaman
Khaaaa mkuu wengine hawajui kuomba shauri yako we baki hivyo hivyo na mambo zako za mwaka 47 me mwenyewe siwezi kuomba hela mwanaume unatakiwa ujiongezeUjue kumpa MTU hela bila ya yy kusema,ni kimdhalilisha?au anaweza kutafsiri umemuona muuzaji?so to me kumpa MTU hela direct naona km kumdhalilisha,ila km anapenda style hy sawa
Ahahhaha yangu macho mieWale wawili nimeshawaacha. Uko peke ako
Akaaa. Kushare staki kwanza nina wivuHii shemeji ya MSAGA SUMU au vipi?
Sikuui tatizo hueleweki unataka huku na hukuInamaana wewe hauna pingamizi? Utaniua ujue
Ahahha mwanamke mwizi weweNimeiacha yote kwa ajili ya huyu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lete namba ya Mpesa
Akaaa. Kushare staki kwanza nina wivu
Yaaan si muelewi jaman anataka huku na hukuMwenyewe simuelewi anataka kote kote.
Teh teh..Haya bana..Ukizidiwa dada yako atakusaidia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeanza si nitawapangia zamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Deo kisandu, tunasubiri ukalopoke FB tu!
Sikuui tatizo hueleweki unataka huku na huku
Ahahahh mjazeeee ajazikeeAkaaa. Kushare staki kwanza nina wivu
Unampaje hizo hela? Unampa baada ya kuduu au unampa tu labda bby hii ya saloon au bby hii ya usafiri? Ukimpa kila baada ya kuduu ataona kama anakuuzia.Ujue kumpa MTU hela bila ya yy kusema,ni kimdhalilisha?au anaweza kutafsiri umemuona muuzaji?so to me kumpa MTU hela direct naona km kumdhalilisha,ila km anapenda style hy sawa
Ahahha mtadumu sana wote mna miwivuMie mwenyewe nna wivu hatari
Maimaaaa. Sasa huo mtihani. Maana mtaani kwenyewe nina mababy hatari. Huku ndo hadi nawasahau wengine. Yeye ntamuita mume akiona naitwa bby ajue haibiwi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku atakapokukuta unaitwa watu mababy anakupa talaka hapo hapo
Ahahahahha dada angu sakayo au mziguaTeh teh..Haya bana..Ukizidiwa dada yako atakusaidia