Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

Ujue kumpa MTU hela bila ya yy kusema,ni kimdhalilisha?au anaweza kutafsiri umemuona muuzaji?so to me kumpa MTU hela direct naona km kumdhalilisha,ila km anapenda style hy sawa
Khaaaa mkuu wengine hawajui kuomba shauri yako we baki hivyo hivyo na mambo zako za mwaka 47 me mwenyewe siwezi kuomba hela mwanaume unatakiwa ujiongeze
 
Ujue kumpa MTU hela bila ya yy kusema,ni kimdhalilisha?au anaweza kutafsiri umemuona muuzaji?so to me kumpa MTU hela direct naona km kumdhalilisha,ila km anapenda style hy sawa
Unampaje hizo hela? Unampa baada ya kuduu au unampa tu labda bby hii ya saloon au bby hii ya usafiri? Ukimpa kila baada ya kuduu ataona kama anakuuzia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku atakapokukuta unaitwa watu mababy anakupa talaka hapo hapo
Maimaaaa. Sasa huo mtihani. Maana mtaani kwenyewe nina mababy hatari. Huku ndo hadi nawasahau wengine. Yeye ntamuita mume akiona naitwa bby ajue haibiwi.
 
Back
Top Bottom