Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Kasema hivyo. Atakua muoga tu na yeye bwana.Ahahhah umeona wakunyumba mpaka outing katoka nae mtu haeleweki anashindwa jiongeza atoe mahela tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasema hivyo. Atakua muoga tu na yeye bwana.Ahahhah umeona wakunyumba mpaka outing katoka nae mtu haeleweki anashindwa jiongeza atoe mahela tu
Jaman hivi si uliniambia umenipa talakaKila nikijiweka kwako mzimamzima unanifanyia tukio. Full surprises
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Maimaaaa. Sasa huo mtihani. Maana mtaani kwenyewe nina mababy hatari. Huku ndo hadi nawasahau wengine. Yeye ntamuita mume akiona naitwa bby ajue haibiwi.
Nimeshatuma pm hubbyLete namba ya Mpesa
Hajiamini kabisaKasema hivyo. Atakua muoga tu na yeye bwana.
Si ajabu sasa wote mngekuwa mnachezea ban...and for what? Safi sana !!!Hahahahaaaa, niliamua kuepusha misamiati migumu ambaye ingetolewa
Kwanza kuomba kipaji daah. Kwanini nikuombe wakati unajua we bwana angu. AKhaaaa mkuu wengine hawajui kuomba shauri yako we baki hivyo hivyo na mambo zako za mwaka 47 me mwenyewe siwezi kuomba hela mwanaume unatakiwa ujiongeze
Sakayo...Mzigua kwani ni dada yako???Ahahahahha dada angu sakayo au mzigua
Mwenyewe simuelewi anataka kote kote.
Basi tutafaana maana tutalindana wote.Mie mwenyewe nna wivu hatari
Hahahaahaaa. Anaumia roho haamini kama umemtosaYaaan si muelewi jaman anataka huku na huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaniharibiaAhahahh mjazeeee ajazikee
Nimepanga mwaka huu nijiepushe na BAN kwa namna yoyote ile, ikitokea napo ni bahati mbaya tu.Si ajabu sasa wote mngekuwa mnachezea ban...and for what? Safi sana !!!
Jaman hivi si uliniambia umenipa talaka
Kumbe wewe bado mvulana? Ndo maana hata maandiko yako ni ya kitoto sana na kikabila. Shunie pole sanaUnauliza matako Bafuni?
Mnoooo. Yani tulivyo na wivu halafu mi sijui kucheat. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ahahha mtadumu sana wote mna miwivu
Mscheewww. Nakuangalia tuSakayo...Mzigua kwani ni dada yako???
Nimepanga mwaka huu nijiepushe na BAN kwa namna yoyote ile, ikitokea napo ni bahati mbaya tu.
Nishatuma pm hujaona ina maana. We hubby bwana. Si unajua neno shemeji limenikaa sana.Sasa na wewe mara uniite shemeji mara umewaacha wote nimebaki peke yangu...what exactly do you want. Tuma kwanza account number nifanye muamala kabla haujanivuruga nikabadili mawazo. Hili jambo la Genta sio jepesi, penzi langu kwa Shunie limeenda vidato