Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

Khaaaa mkuu wengine hawajui kuomba shauri yako we baki hivyo hivyo na mambo zako za mwaka 47 me mwenyewe siwezi kuomba hela mwanaume unatakiwa ujiongeze
Kwanza kuomba kipaji daah. Kwanini nikuombe wakati unajua we bwana angu. A
 
Sasa na wewe mara uniite shemeji mara umewaacha wote nimebaki peke yangu...what exactly do you want. Tuma kwanza account number nifanye muamala kabla haujanivuruga nikabadili mawazo. Hili jambo la Genta sio jepesi, penzi langu kwa Shunie limeenda vidato
Nishatuma pm hujaona ina maana. We hubby bwana. Si unajua neno shemeji limenikaa sana.
 
Back
Top Bottom