Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

Jaman jaman kama umetokea kumkubali mdada fulani humu anza kumtumia muamala ulizia namba ya wakala wa mpesa jiran yake hapo alipo tuma kisha dondosha gazeti refu kama hili.

Haya genta jiongeze tuma hata vocha kwa shunie maana uzi unakimbia ila shosti angu MB zinamuishia bure bure wakati kuna mtu anamkubali na kuota ndoto kubwa kubwa.
Asanteeee Numbiii [emoji8][emoji8][emoji8] ndio mana nakupenda muhenga mwenzangu
 
Namkaribisha rasmi Mkoani Mara ( Musoma ), Lindi na Gisenyi nchini Rwanda. Na kuanzia leo nawaomba ' Poti ' zangu wote kutoka Mkoani Mara muwe mnamuheshimu Shemeji yenu Shunie na mumpe ushirikiano wenu wote mkiwa nae humu. Najipanga kufanya Sherehe kubwa kidogo ambayo inaweza ikatikisa si tu Tanzania na Rwanda bali hata na dunia nzima.

Na Harusi yangu au Mahusiano yangu na Shunie yasipofanikiwa hawa Watu watanikoma kwakweli kwani nawajua walivyo na husuda:

  1. Wahaya ( Kagera )
  2. Waha ( Kigoma )
  3. Wanyiramba na Wanyaturu ( Singida )
  4. Warangi ( Dodoma )
Leo Mwanamume nimesema ukweli japo najua watakaonuna ni lukuki / wengi.

Tutampokea Ziro ziro
Tumtembeze Nyabange, bweri, songe, baruti, nyakato msoma bus nyamatare Rwamlimi makoko tumpitishe mitumbani nyasho tumpeleke mukendo tunamlaza mwisenge Kisha kasherehe Maltvilla...
Shunie karibu sana Mara
 
Wanaume tuna kazi kweli yani makala yote hiyo ila muhusika anakuja kutoa majibu kibamia tena kwa lengo la kufunika kombe mwanaharamu apite...

Shunie embu heshimu kazi ya mikono ya mtu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nakusikiliza wewe bby unanipeleka wapi leo. Kule umenipeleka last time tusiende tena hawajui kutengeneza cocktail nzuri halafu.

"Big Boys Don't Cry"

If we both believe in Reincarnation,
Maybe we will have a
Chance in the next life.
You felt something for me
And I was so deeply in love with you.
But we both said nothing
Till we ran out of time
Sometimes I cry,
I said I cry
And it's not because of the pain I feel inside
And it's not because of the hurt I feel inside
But I cry,
I said I cry
Sometimes I cry

And I remember the days
When love was so far away from me,
The only time I knew about love was
When mommy and daddy told me they loved me,
And I didn't know that today it would be
Me having got to say I love you
But I remember that

[Chorus:]
Big boys don't cry
And sometimes
I cry
I said I cry.

And it's not because of the pain I feel inside
And it's not because of the hurt I feel inside
But I cry

I see your beautiful face
Everytime I close my eyes,
You reach out for me I reach out for you
But in real life we cannot meet, Oh!
That is why I cry,
I said I cry
And it's not because of the pain I feel inside
And it's not because of the hurt I feel inside
But I cry

And I remember the days
When love was so far away from me,
The only time I heard about love was
When mommy and daddy told me they loved me,
And I didn't know that today it would be
Me having got to say I love you,
But I remember that​
 
Back
Top Bottom