Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Anasubiri aombwe etii. Halafu wakitoka hapo wanasema wamawake wanaomba sana
Umemtosa wewe wakunyumba.Me sijamtosa jaman aliniacha kwa hasira zake tu
Asanteeee Numbiii [emoji8][emoji8][emoji8] ndio mana nakupenda muhenga mwenzanguJaman jaman kama umetokea kumkubali mdada fulani humu anza kumtumia muamala ulizia namba ya wakala wa mpesa jiran yake hapo alipo tuma kisha dondosha gazeti refu kama hili.
Haya genta jiongeze tuma hata vocha kwa shunie maana uzi unakimbia ila shosti angu MB zinamuishia bure bure wakati kuna mtu anamkubali na kuota ndoto kubwa kubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yangu mijicho
Namkaribisha rasmi Mkoani Mara ( Musoma ), Lindi na Gisenyi nchini Rwanda. Na kuanzia leo nawaomba ' Poti ' zangu wote kutoka Mkoani Mara muwe mnamuheshimu Shemeji yenu Shunie na mumpe ushirikiano wenu wote mkiwa nae humu. Najipanga kufanya Sherehe kubwa kidogo ambayo inaweza ikatikisa si tu Tanzania na Rwanda bali hata na dunia nzima.
Na Harusi yangu au Mahusiano yangu na Shunie yasipofanikiwa hawa Watu watanikoma kwakweli kwani nawajua walivyo na husuda:
Leo Mwanamume nimesema ukweli japo najua watakaonuna ni lukuki / wengi.
- Wahaya ( Kagera )
- Waha ( Kigoma )
- Wanyiramba na Wanyaturu ( Singida )
- Warangi ( Dodoma )
Vipi baba yeyoooAhahhaha jaman ngoja akubali kuwa mume wa pili akitoka Baba D
Hakuna shida akikubali anakaa kwenye foleni napanga zamuSwali jepesi kabisa hili kwa mwanaume
Nawazooom tuuJaman [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sakayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume tuna kazi kweli yani makala yote hiyo ila muhusika anakuja kutoa majibu kibamia tena kwa lengo la kufunika kombe mwanaharamu apite...
Shunie embu heshimu kazi ya mikono ya mtu
Nakusikiliza wewe bby unanipeleka wapi leo. Kule umenipeleka last time tusiende tena hawajui kutengeneza cocktail nzuri halafu.
Muulize sakayo ndio anajua ilivyokuwa aliniacha mbele za watu sakayo alimtania tuUmemtosa wewe wakunyumba.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mie tena jamani... Ujue sisemagi uongo eeeh
Asante jamanTutampokea Ziro ziro
Tumtembeze Nyabange, bweri, songe, baruti, nyakato msoma bus nyamatare Rwamlimi makoko tumpitishe mitumbani nyasho tumpeleke mukendo tunamlaza mwisenge Kisha kasherehe Maltvilla...
Shunie karibu sana Mara
Pole baby..Si unajua baby wako ni mlokole mstaafu..Viwanja vingi havijui..Ngoja nigoogle basi,nisije kukuangusha na leo.Nakusikiliza wewe bby unanipeleka wapi leo. Kule umenipeleka last time tusiende tena hawajui kutengeneza cocktail nzuri halafu.
Pamoja kwa shida na raha,JF na nje ya JF iwe full burudan kwa kusifiwa kivitendo.Asanteeee Numbiii [emoji8][emoji8][emoji8] ndio mana nakupenda muhenga mwenzangu
Asante jaman
Baba yeyoo umesahau alinipa talaka mbele yako kama amenirudia anakuwa wa piliVipi baba yeyooo
Ndio maana nikampa pole maana najua mziki wa kupenda!Ebu acheni wivu jaman kwani Genta hatakiwi kupenda na yeye ana moyo