Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

Jaman jaman kama umetokea kumkubali mdada fulani humu anza kumtumia muamala ulizia namba ya wakala wa mpesa jiran yake hapo alipo tuma kisha dondosha gazeti refu kama hili.

Haya genta jiongeze tuma hata vocha kwa shunie maana uzi unakimbia ila shosti angu MB zinamuishia bure bure wakati kuna mtu anamkubali na kuota ndoto kubwa kubwa.
Aisee umenipa mbinu maana Nina mpango Wa kukushushia bonge la makala!
 
Back
Top Bottom