Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] halaf nimefurahi umerudisha avatar ya zamani

Ndio hivyo tena, nilianza kurudisha avatar ili niweke sawa na penzi letu lililoyumba ila kbla sijakaa sawa ndio yametokea ya kutokea.
 
Namkaribisha rasmi Mkoani Mara ( Musoma ), Lindi na Gisenyi nchini Rwanda. Na kuanzia leo nawaomba ' Poti ' zangu wote kutoka Mkoani Mara muwe mnamuheshimu Shemeji yenu Shunie na mumpe ushirikiano wenu wote mkiwa nae humu. Najipanga kufanya Sherehe kubwa kidogo ambayo inaweza ikatikisa si tu Tanzania na Rwanda bali hata na dunia nzima.

Na Harusi yangu au Mahusiano yangu na Shunie yasipofanikiwa hawa Watu watanikoma kwakweli kwani nawajua walivyo na husuda:

  1. Wahaya ( Kagera )
  2. Waha ( Kigoma )
  3. Wanyiramba na Wanyaturu ( Singida )
  4. Warangi ( Dodoma )
Leo Mwanamume nimesema ukweli japo najua watakaonuna ni lukuki / wengi.
Ambe mkaruka! hilo litafanyika kwa umakini mkubwa 'poti'
 
Kwani Wewe ukienda Kuoga huwa unaoga na Mchupi kama siyo Mboksa wako? Hii misemo huwa na dhana pana ila bahati mbaya ikikutana na Watu wenye akili za Ki ' Emolo ' na ' Jolly Bebe ' ndiyo huwa inakuwa tatizo na haieleweki.
Mkuu wewe ukitembea kwa road matako unayaacha bafuni?
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
Shem mwamhie Mzee sasa apunguze ukali.Pamoja kuwa yeye ni musoma tribe anaoa mkoa wenye ustaarabu mkubwa.Wakwe wataogopa kwenda Mara.
Hongera kumpata mume. Tulipiga ramli sana hatimaye umedondokewa.
 
Back
Top Bottom