Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ila huenda asimpige. Sababu sie watu wa Tanga na vipigo tuko tofauti.Dadako anaenda kuchezea vichapo vya Muraa katka kunyeshwa kupendwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] msiogope mwambie atazoea tu
Na itabidi amfahamishe kwamba siku zote mwanamke hapigwi na fimbo. [emoji85]