Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

...ha hahahaha, anko, kuna tofauti ya mshika mapembe na mkamuaji, kwa sisi wafugaji tunaelewa na kuelewana
Eti binamu huyu kuna haja ya kumnywea bia ili tumuoneshe tofauti kati ya mke wa mtu na vimada wa mjini ??

Nakusikiliza wewe binamu?
 
Baba D jaman we ndio mume nimemuuliza ataweza kuwa mume wa pili
Hivi huyu si mwanaume wa dar ??
Anyway dear unajua ninavokuhamuu [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Jaman jaman kama umetokea kumkubali mdada fulani humu anza kumtumia muamala ulizia namba ya wakala wa mpesa jiran yake hapo alipo tuma kisha dondosha gazeti refu kama hili.

Haya genta jiongeze tuma hata vocha kwa shunie maana uzi unakimbia ila shosti angu MB zinamuishia bure bure wakati kuna mtu anamkubali na kuota ndoto kubwa kubwa.
mmmh...mkurya anataka kuelekezwa kibra![emoji2] [emoji2]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] chit chat bana ama kweli ni chit
Lee umetema mzigo nini
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom