Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

Oceans are apart day after day
And I slowly go insane

I hear your voice on the line
But it doesn't stop the pain

If I see you next to never
how can we say forever...

Wherever you go
Whatever you do
I will be right here waiting for you
Wherever it takes
Or how my heart breaks
I will be right here waiting for youuuuuuuu[emoji1][emoji1]
 
Duuu, mkuu umefanya siri leo umeona ufunguke hadharani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] salute mkuu
 
Kwa hiyo Shunie ndio mwenye bahati ya kupendwa na jamaa wa Musoma, intel wa Kagame, mzee wa Puerta Rico??

Namkaribisha rasmi Mkoani Mara ( Musoma ), Lindi na Gisenyi nchini Rwanda. Na kuanzia leo nawaomba ' Poti ' zangu wote kutoka Mkoani Mara muwe mnamuheshimu Shemeji yenu Shunie na mumpe ushirikiano wenu wote mkiwa nae humu. Najipanga kufanya Sherehe kubwa kidogo ambayo inaweza ikatikisa si tu Tanzania na Rwanda bali hata na dunia nzima.

Na Harusi yangu au Mahusiano yangu na Shunie yasipofanikiwa hawa Watu watanikoma kwakweli kwani nawajua walivyo na husuda:

  1. Wahaya ( Kagera )
  2. Waha ( Kigoma )
  3. Wanyiramba na Wanyaturu ( Singida )
  4. Warangi ( Dodoma )
Leo Mwanamume nimesema ukweli japo najua watakaonuna ni lukuki / wengi.
 
Nshamuitaa sijui yuko waapii

Yupo Chumbani Kwake analia kwa furaha sana kwani kumbe hata Yeye amekuwa akizunguka Makanisani kote kuomba tu aombewe ili aweze kuwa Mrs. GENTAMYCINE na hatimaye leo Mwenyezi Mungu amejibu maombi yake. Ashindwe mwenyewe. Kweli Mwanamke yoyote akimuomba Mungu kiukweli na kumaanisha basi hujibiwa pale pale kama ambayo Shunie amejibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…