Mwakamele 16
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,493
- 1,113
Acheni kumkatisha tamaa mwenzenu. Kila mtu Mungu amempangia riziki yake na namna ya kuipata, kwani GENTAMYCINE akimmiliki mtoto Shunie atakuwa amevunja ibara gani ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar? Au huyo anaye mmiliki ana kipi cha zaidi ambacho mkuu GENTAMYCINE hana? Au ya kwake ina AC ndani? Mkuu GENTAMYCINE kila la heri nakuombea ufanikiwe! Na wewe Shunie usomapo uzi huu usifanye moyo wako kuwa mgumu, tazama GENTAMYCINE anabisha hodi, endapo utafungua mlango wa moyo wako, basi ataingia kwako na kufanya makao