Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka upigwe za uso mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Glory siyo GroryGladness not Gradness
Ukiendelea kukaza utabanja na kutoa ushuzi AT THE SAME TIMEEnhee bora ujikoolee tu ukijikaza unaumia ndani kwa ndani shida yote ya nini Sasa Hahaaaa
Karibu shemela. Acha kuzuga usha pendwa hadharani.Nimefika mama
Anapenda MKURYA au anampenda GENTA.Mkuu Kuna Mdada humu alikuwa anakuzimikia Balaa,
Tangu ulivyotaja Kwenye ule Uzi uliopita Kuwa Luna MTU unamzimikia Kuna comments Aliitoa Mzigua90 kuwa
Anapenda Mkaka wa Kikurya na Akatoa sababu kuwa anapenda mkurya kwasababu anapenda zile Amsha Amsha,mapenzi Au Shoo za Kibabe...naomba aje hapa Akiri!
Ahaaa.....hv kuna mdada yoyote member wa jf ambaye yuko dodoma...mimi nimehamia dodoma natafuta mdada wa jf ili niweze kumla...maana dem wangu yuko dar...sasa nikiwa huku natafuta mtoto wa kumlaUwe labda umeshawahi sijui Kutongozwa humu au huko barabarani au hata kuwa na Mahusiano na Watu wenye Idadi kama Mabehewa yote ya Treni ya Bara au hata kama una mapungufu yako yoyote au hata kama Wewe ni mchawi / kigagula ila leo nikuambie tu rasmi kuwa katika Members wa JamiiForums ambao natamani sana siku moja Mimi na Yeye tusimame Madhabahuni tukiwa tunafunga Ndoa yetu ni Wewe uitwae Shunie.
Nina sifa moja kubwa kama pia si zawadi niliyopewa na Mwenyezi Mungu ya kujua sana kuchagua vitu vizuri, sahihi na makini na kamwe sijawahi kukosea hivyo nakuomba popote pale ulipo kuanzia sasa tena ikibidi ringa na tamba kabisa huku ukijiita Mrs. GENTAMYCINE kwani Moyo wangu Kwako umeshakufa Kitambo hivyo Kazi Kwako Wewe tu Kuuzika.
Bahati nzuri sijawahi Kumtongoza Mwanamke yoyote humu Jamvini tokea nijiunge rasmi hivyo asikutishe ' Kinyankera ' yoyote kuwa sijui nimeshawahi kumtokea au kumbandua / kumbaioloji ila Wewe ndiyo wa Kwanza hivyo jiamini huku ukitembea kifua mbele kuwa Wewe sasa ndiyo Mrs. Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer.
I love you so much Shunie mwaaaaaaaahhhhhhhhhh.....pokea rasmi hilo busu langu la thamani kubwa lililojaa ' mahaba ' ya Kimataifa.
Penzi ni Kikohozi na kulificha siwezi.
Nawasilisha.
Hahaha haki ya Mungu nimejikuta nacheka peke yangu hadi machozi yamenitoka.Yupo Chumbani Kwake analia kwa furaha sana kwani kumbe hata Yeye amekuwa akizunguka Makanisani kote kuomba tu aombewe ili aweze kuwa Mrs. GENTAMYCINE na hatimaye leo Mwenyezi Mungu amejibu maombi yake. Ashindwe mwenyewe. Kweli Mwanamke yoyote akimuomba Mungu kiukweli na kumaanisha basi hujibiwa pale pale kama ambayo Shunie amejibiwa.
Ahaaa.....hv kuna mdada yoyote member wa jf ambaye yuko dodoma...mimi nimehamia dodoma natafuta mdada wa jf ili niweze kumla...maana dem wangu yuko dar...sasa nikiwa huku natafuta mtoto wa kumla
We huwajui wa Tz kwa roho mbaya...hapo kakusudia amfukuze Shunie uonekane na ndo lengo lako.Huu ni mchango wako katika huu uzi wangu au umeamua kuanzisha uzi ndani ya uzi kwakuwa labda umeona ukiuanzishia / ukiupitishia kwenye uzi wa Super Brand ID ya GENTAMYCINE utafanikiwa haraka kama siyo upesi?
Tanga...!Hahahaaa. Ndio nyumbani huko. [emoji85]
Hupigwa kwa pindo la kanga au kitenge.[emoji324]Ila huenda asimpige. Sababu sie watu wa Tanga na vipigo tuko tofauti.
Na itabidi amfahamishe kwamba siku zote mwanamke hapigwi na fimbo. [emoji85]
[emoji12] fanya hata kama unang'ata vidole bhasi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana Genta kwa hiyo ule uzi uliokeshesha watu usiku wa manane ulikuwa unanihusu jaman shunie mm kupendwa na Genta [emoji4][emoji4] asante kwa kunipenda si unajua vile nilivyo shabiki wako toka sijawa member jf nafatilia thread zako na baadhi ya michango yako
Kupendwa na Genta jf na thread juu kukufungulia si jambo la mchezo mchezo [emoji7][emoji7] nakupenda pia sasa utakubali kuwa mume wa pili jaman[emoji39][emoji85][emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unauliza matako Bafuni?
Mimi nitakuwa mwenyekiti wa kamati ya chakula na vinywaji tafadhaliGentamycine Mimi nitakuwa bestman wako siku unamleta Shemu wetu kanda ya ziwa
Lukwafya