Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

Acheni kumkatisha tamaa mwenzenu. Kila mtu Mungu amempangia riziki yake na namna ya kuipata, kwani GENTAMYCINE akimmiliki mtoto Shunie atakuwa amevunja ibara gani ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar? Au huyo anaye mmiliki ana kipi cha zaidi ambacho mkuu GENTAMYCINE hana? Au ya kwake ina AC ndani? Mkuu GENTAMYCINE kila la heri nakuombea ufanikiwe! Na wewe Shunie usomapo uzi huu usifanye moyo wako kuwa mgumu, tazama GENTAMYCINE anabisha hodi, endapo utafungua mlango wa moyo wako, basi ataingia kwako na kufanya makao
 
Si awe nao wote wawili tu?
 
Hahahaaaaaaa eti AC aiseee
 
Shunie dada njoo huku.

Ila Shemeji kabila lako lantisha sababu sie Watanga tumezowea kudekezwa sasa utaweza kumdekeza dada au ndio kila siku utampa kipigo.

ukhuty njoo huku dada kadondokewa.
nimekuja dada angu shunie mdogo wangu mambo ndo hivyo tena shemeji karibu san tanga
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usiniangushe tafadhali
 
Mtoto mkali kama Shunie hawezi kwenda kwa mwanaume mmbeya namna hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…