Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka

Huna uhakika yani 'coz 1st paragraph unasema hata akiwa mchawi au amewah kuwa na wapenzi kama mabehewa then hapohapo 2nd paragraph unajipa credit kuwa hukoseagi kuchagua vitu vizuri sahihi na makini!

Iz iti kam kam kweli? You're not serious if not sure bro.
 

Umechelewa Braza
Mimi ndio Namkaa huyo Chick.
Shunie Love uwe na usiku mwema...
 
Da, Genta unatisha ni sawa na kutongoza sokoni tena kwa loud speaker. Haya mzee kama utakubaliwa usisahau kunipa kadi ya mwaliko wa harusi.
 
Mume mwenza... Atakubali tu
 
Neno "-TUKUKA" unalipenda sana, post zako au comments zako nyingi lazima liwepo.
Tutakupa jina sasa, tutakuwa tunakuita Mzee wa KUTUKUKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…