ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
upo wew miss san wewNafanya mazoezi ya kucheza ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Dada kapata mume![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
upo wew miss san wewNafanya mazoezi ya kucheza ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Dada kapata mume![]()
[emoji108] [emoji108]Shemeji karibu Tanga kwa watoto wazuri na wanaojielewa.
nzur mpenz tunapishanaNipo maa
Miss you tuu
Za kuadimika?
Huyo Mwanamke nampenda sijapata kuona na haijawahi kutokea. Ila hata yeye pia huko alipo au salamu hizi zikimfikia itabidi afurahi kwani amepata dhahabu halisi kabisa hivyo Kazi Kwake tu kuitunza na kuhakikisha kwamba haitamaniwi na wengine ambao usiku na mchana walikuwa wanaota Kupendwa na GENTAMYCINE ila bahati mbaya sana moyo wangu haukuwaona kama ambavyo kila uchao ulikuwa ukimwona tu Shunie.
Da, Genta unatisha ni sawa na kutongoza sokoni tena kwa loud speaker. Haya mzee kama utakubaliwa usisahau kunipa kadi ya mwaliko wa harusi.Huyo Mwanamke nampenda sijapata kuona na haijawahi kutokea. Ila hata yeye pia huko alipo au salamu hizi zikimfikia itabidi afurahi kwani amepata dhahabu halisi kabisa hivyo Kazi Kwake tu kuitunza na kuhakikisha kwamba haitamaniwi na wengine ambao usiku na mchana walikuwa wanaota Kupendwa na GENTAMYCINE ila bahati mbaya sana moyo wangu haukuwaona kama ambavyo kila uchao ulikuwa ukimwona tu Shunie.
Mume mwenza... Atakubali tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana Genta kwa hiyo ule uzi uliokeshesha watu usiku wa manane ulikuwa unanihusu jaman shunie mm kupendwa na Genta [emoji4][emoji4] asante kwa kunipenda si unajua vile nilivyo shabiki wako toka sijawa member jf nafatilia thread zako na baadhi ya michango yako
Kupendwa na Genta jf na thread juu kukufungulia si jambo la mchezo mchezo [emoji7][emoji7] nakupenda pia sasa utakubali kuwa mume wa pili jaman[emoji39][emoji85][emoji85]
mi ndo sijapendwa, haki ya mungu mwaka huu kwangu nuksiWaooooo shunie
Huu mwaka ni kupendwa tu na kupendana hadi raha
Shunie una kazi kweli!!!Wewe kwa Avatar yako tu hiyo yenye ' Msura ' mbaya utadhani ' Bundi ' anajisaidia haja kubwa unataka akupende nani?
Hahahahahha loohShunie una kazi kweli!!!
Jamaa linamipasho na gubu la mama mwenye nyumba..
Naona Miss mia katangaza ndoa na popoma.Nimefukua nyuzi ya popoma
Halafu wameshamtwanga ban. Nadhani ndiye memba anayeongoza kwa kula ban hapa JF.Nimefukua nyuzi ya popoma