GJHariohay
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 1,041
- 1,160
- Thread starter
-
- #821
Bado, nioneshe channelOooh usiniambie umepata
We muombe Mungu tu me mkulima na mfugajiBado, nioneshe channel
Hahahahahaaa sijawahi jaribisha hivi kweli umefunga?? Ngoja nijaribu kam naweza chomozaYaan nimefunga nina mwaka na kitu mambo ya humu yanachosha sana utasalimiwa mara kumi kwa siku na maswali maswali yasiokuwa na kichwa wala miguu mxcieew hivi ule uzi wetu wa band kwa nini umefutwa
Nafanya pia hizo kaziWe muombe Mungu tu me mkulima na mfugaji
Kuna sehemu nilikuwa nimewasiliana na boss wangu mmoja kaniambia nafasi zimejaa ila naangalia namna nyingine ya kumsaidiaNilikwambia mm kaka ulikua huniamni sasa kwahiyo mmefikiaje
Ingia Facebook anatumia jina la money pennynatamani sana kuiona figure yake,pliz let me see her
Hivi umefutwaa sijuii wallah,,ulikua unachekesha sanaaYaan nimefunga nina mwaka na kitu mambo ya humu yanachosha sana utasalimiwa mara kumi kwa siku na maswali maswali yasiokuwa na kichwa wala miguu mxcieew hivi ule uzi wetu wa band kwa nini umefutwa
Hahahah weweeeHuu Uzi nao ukifutwa itapendeza
Kijana ninae mkuu wa kunisaidiaNafanya pia hizo kazi
Sawa kaka nakuombeaKuna sehemu nilikuwa nimewasiliana na boss wangu mmoja kaniambia nafasi zimejaa ila naangalia namna nyingine ya kumsaidia
KhaaaaIngia Facebook anatumia jina la money penny
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] naona utafanya shereheHuu Uzi nao ukifutwa itapendeza
Umefutwa Alonso kaniambia padre mcharo kaenda kufanya fujoHivi umefutwaa sijuii wallah,,ulikua unachekesha sanaa
Kwanini?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] naona utafanya sherehe
Si ukifutwaKwanini?
Ngoja nianzishe fujo.Si ukifutwa
Hahahahaa nakuelewaaKijana ninae mkuu wa kunisaidia
Ahahha sawaNgoja nianzishe fujo.