Shunie: The thread is special for you.

Shunie: The thread is special for you.

Yaan nimefunga nina mwaka na kitu mambo ya humu yanachosha sana utasalimiwa mara kumi kwa siku na maswali maswali yasiokuwa na kichwa wala miguu mxcieew hivi ule uzi wetu wa band kwa nini umefutwa
Hivi umefutwaa sijuii wallah,,ulikua unachekesha sanaa
 
Back
Top Bottom