Shura ya Maimamu Tanzania: Mlinzi Mwanamume wa Rais kuvaa Hijabu na kuingia Msikitini

Kwenye kuhakikisha ulinzi na usalama wa Mh. Rais unazungatiwa lolote linaweza kufanyika hata kama ni kuingia na mbwa msikitini wataingizwa tu. Usalama wa Rais ni zaidi ya hizo mila na desturi za kiarabu. Imeisha hiyo
 
Tusubiri yule shekhe wa Mheshimiwa Yesu akija kupinga.
 
Mtajua wenyewe!angekua kafanya rais upande wa pili, kesho yake asbh tu mngeingia barabarani!ila kwa sababu ni wa kwenu mnajifanya kutoa waraka!mtajua wenyeewe na rais wenu!sisi hayatuhusu hayo!
 
Mim
Waislamu wamkatae kiongozi anayedharau dini Kwa kuingia na wanaume sehemu ya wanawake!!
i Muislamu lakini dhehebu langu hariruhusu mwanamke kwenda kuswali msikitini anaswalia nyumbani ndio maana hata misikiti tunayojenga haina sehemu ya kuswalia wanawake sasa Shuhura inapotoa tamko isiunganishe wote waseme dhehebu lililofedheheshwa
 
Kwakutumia akili mnembo Ukiona ulinzi umeimarishwa sehemu husika ujue usalama ni mdogo zinatumika mbinu za midani, halafu Rais ni taasisi
 
Hoja yako ni kuwa lazima pawe na maandiko kuhusu taratibu za kidini. Nimeijubu vizuri kwa kuuliza swali ndugu Allan labda kama umekataa kunielewa.
Yap.

Masista kutokuolewa si sawa na hoja ya kusema hairuhusiwi kuingia mwanaume upande wa wanawake wakati wa kuswali.

Kuwa sista si shuruti bali ni hiyari na ndiyo maana sista akivunja kiapo chake huondolewa kwenye usista. Na siyo Kila mwanamke wa kikristo ni sista.

La wanaume kutokuingia Kwa wanawake linasemwa kama sharti. Na kama sharti ni lazima kuwe na chanzo kilichoandikwa mahali.
 
Yamkini mlinzi wa kiume wa RAIS ameingia msikitini mara kadhaa ila wamestuka juzi tuu.

Nasubiri tamko la BAKWATA maana wale jamaa ni watiifu kwa chama dola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…